Faida za vibamia



Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
 
Atleast muandishi ungetupa vipimo kwa kupitia cm au inch tujipime ili mtu ujijue kama ni kibabia, kikarrot au muhogo!!! Na pia wenye mihogo vipi wanaweza kurudi kwenye carrot na vibamia vipi wanaweza kuwa muhogo??
 
Mi nimepata kitu kipya ...

Kumbe luna k na kaburi ?
 
Wenye vibamia ndio wanapata muda WA kujenga viwonda Kwani hawana muda WA kuwaza kukuna watu
 
Faida kubwa kushinda zote wa vibamia ni ngumu kupata ngoma ukilinganisha na wenye mihogo kama wote unapiga peku.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…