Nimekutana na watu wanauza kifaa cha umeme waitwa M pawa wanadai wanakufungia kifaa chao kikiwa na taa nne kwa gharama ya tsh 15000 baada ya hapo inakuwa unanunua umeme wa kila mwezi kwa tsh 14900 kwa kupitia m pesa.
Swali langu ni kuwa unawezekanaje kununua umeme kwa wireless ? kifaa chao kina ka solar panel kadogo kwa ajili kukifanya kikae na umeme wa kujiendesha lakini umeme wa taa mpaka uulipie kama LUKU.
Tuelimisheni kwa mnaoijua hii kitu plz