Mimi kwa pc yangu nina Ubuntu na Windows
Uzuri wa ubuntu ni haishambuliwi na Virus
Software zake nyingi ni free
Hasara zake sio user frendly(hapa nazungumzia installation ya softwares na muonekano).
hapo naweza pingana na wewe, installation ya software kwenye ubuntu ni simple than any
os maana kunastore ya apps wewe nikuingia na kuchagua software yako na kuinstall.
i am just about to install ubuntu on my pc, what can be its problem hasa kwa mtumiaji asiye mzoefu wa linux
Mkuu wewe ndio muongo wa kutupwa Mimi pia ni programmer niliyebobea kwenye java na php na huwa nafanyia kwenye Ubuntu sasa inaelekea wewe ni victim wa .net ndio maana unainyenyekea mkuu dunia inahamia kwenye open source ohoooooo!!!!!! Na application nyingi ni web based Microsoft kwisha habari yakeUsiwandanganye watu Mimi ni programmer Linux OS is better on server side.
Office za ubuntu sio nzuri.
Programming tools za ubuntu sio nzuri
Inachukua muda mrefu kwa instalation.
Hakuna license yeyote hata kam ikibuma hakuna wa kumlaumu.
Ubutu ni kwaajiri ya education sio ushauri organization kutumia ubutu.
Watu wengi wenye ubuntu utawakuta wanatumia Windows.
Acha kudanganya watu be professional
Mimi kwa pc yangu nina Ubuntu na Windows
Uzuri wa ubuntu ni haishambuliwi na Virus
Software zake nyingi ni free
Hasara zake sio user frendly(hapa nazungumzia installation ya softwares na muonekano)
Haina software za kushiba kama za Windows
Kwa upande wa games nako inasubiri sana tu kwa Windows
Wataalamu wake wapo wachache ikibuma hasa hapa bongo
Kwangu mimi Windows ndio mpango mzima maana ingawa software zake nyingi za kununua lakini always there's a way to get it free
Kuhusu virus, ukitupia pale kati kitu cha Antvirus inakuwa mpango mzima
Kuna software za maana za kufa mtu
Games hapa ndip pahala pake
Maoni yangu tu jamani
Usiwandanganye watu Mimi ni programmer Linux OS is better on server side.
Office za ubuntu sio nzuri.
Programming tools za ubuntu sio nzuri
Inachukua muda mrefu kwa instalation.
Hakuna license yeyote hata kam ikibuma hakuna wa kumlaumu.
Ubutu ni kwaajiri ya education sio ushauri organization kutumia ubutu.
Watu wengi wenye ubuntu utawakuta wanatumia Windows.
Acha kudanganya watu be professional
Acha kuongopea watu wewe, na kuhusu kubuma naomba ajitokeza mtu hata mmoja humu atwambie kama windows kwenye pc yake iliwahi kubuma akawa contact microsoft wakampa msaada?
Haya masuala ya support from microsoft ni mbele si bongo si likibuma unatengeneza ikizngua unapga chini unaweka kitu kingine.
Ubuntu ni user friendly sana na ina muonekano nadhifu sana kwa hilo umekosea. Sema labda wabongo tunafanya vitu kwa mazoea ndiyo maana unasema sio user friendly kwakuwa umezoea ukitaka close windows una click mkasi upande wa kulia wakati ubuntu mkasi unakuwa upande wa kushoto na mac pia hivyo hivyo.
Acha kuongopea watu wewe, na kuhusu kubuma naomba ajitokeza mtu hata mmoja humu atwambie kama windows kwenye pc yake iliwahi kubuma akawa contact microsoft wakampa msaada?
Haya masuala ya support from microsoft ni mbele si bongo si likibuma unatengeneza ikizngua unapga chini unaweka kitu kingine.
....while linux is fun, its only fun for technicians/ programmers and any other well into IT geek. lakini hata wao hawawezi ishi bila windows. ukiniambia unatumia linux only, nitakuona the biggest liar in the world....
thnk u, its like ur a psychic o something. Asee updates za window ni pain in d a$$, as soon as i connect my pc 2 the network kila app inataka a piece of d action. Dont get me started with the Malware and the cost of controling em in windows. Extra packages needed kufungua baadhi ya mafile in win. Sababu kama hizi ndo zinafanya not only niwe nimeweka Linux in my beast but also live yake in ma Xternal drive ili niepukane na hizo kero nikiikosa kwenye machine(also ku bypass passwords kama mashine imefungwa). Lakini yote kwa yote i still need win, tena sana 2. By the way MINT naona ni nzuri kuliko Penguy nd Ubuntu. Afu somethng funny kuhusu ulichosema ni kwamba kuna experts wengi na uwepo wa wa2 wengi wa kukupa msaada on ur window OS cause the darn thing is full of problems nd keeps breaking down everyday kwanini mafundi wasiwe wengi. Nime2mia Linux 4 abt a good year now i think nimeshareplace Win abt 6 times nd repaired it only God knows how many times in the same time frame huku Lnx ikiwa safe nd sound no Blue screen Cr*p no weird messages. No wonder Gates ana2mia Mac
:biggrin: :biggrin: :biggrin: :biggrin:No wonder Gates ana2mia Mac