FAIDA ZA KUMILIKI HISA ZA VODACOM
Ukitaka kununua hisa lazima ujiulize maswali ambayo utaweza kuridhika kwa kiwango cha kutosha kununua Hisa za Vodacom ni rahisi kwani kampuni yenye huduma bora na yenye ubununifu wa kiwango cha juu;
•M-Pesa;
Vodacom ni waanzilishi wa huduma ya kutuma hela kwa kutumia mtandao wa simu kupitia M-Pesa, huduma inayosaidia kutuma na kupokea hela kutoka kila pande ya nchi.
•M-Pawa;
Huduma ya kujiwekea akiba, na kuweza kukopa kwa njia rahisi bila kuwa na dhamana.
Biashara ya uwekezaji ndani ya Vodacom ni rahisi na inayoeleweka katika makundi mbalimbali ya Jamii.
Vodacom ina historia nzuri katika uendeshaji wake tangu ilipoanzishwa haijawa kubadili jina lake kama makampuni mengine yalivyofanya.
Kampuni ya Vodacom mipango yake ni mizuri kwa kipindi cha muda mrefu yenye kulenga kufikia makundi yote nchi nzima.
Menejimenti ya Vodacom imekuwa ikifanya kazi kwa uweledi na ufanisi kibiashara katika kutanua mipaka ya kutanua soko lake na kulinda wateja wake.
Kampuni ya Vodacom imekuwa na mahusiano mazuri na share holders wake.
Vodacom imekuwa ikijijengea faida kupitia wateja wake na biashara bora ya huduma yenye kuaminika tangu kuanzishwa kwake nchini.
Vodacom ni Mtandao ulioaminiwa zaidi na watanzania kwa miaka zaidi ya 17, na unaendelea kuaminiwa, Uaminifu kwa wateja umeifanya kuwa kampuni bora ya mawasiliano, Ubora huu unafanya kuwa sehemu salama ya uwekezaji wako.
Wekeza na Vodacom
Nunua Hisa za Vodacom
Vodacom Tanzania.
Mm nimeshawishika nataka kununua hisa kama mia mbili iviFAIDA ZA KUMILIKI HISA ZA VODACOM

Haya ndo angepaswa kueleza ili tujue faida za hisaIvi kwa Vodacom, wanauza kuanzia shares ngapi kwa iyo Tshs 850.
Alafu nataka kujua kwamba katika HISA unazonunua unakuwa unaweza kuzitumia kama Dhamana ya kuchukulia Mkopo kwy Taasisi za Kifedha na je? Kwa kiwango gani cha HISA ulizo nazo au thamani ya izo hisa, unapata mkopo wa asilimia ngapi?
Ni kwel amepwaya sana katka kujieleza.Huenda kuna watakaochangia vzur zaidVodacom tumbueni huyu marketing manager wenu hapo umemaliza kuainisha na kubainisha faida za ununuzi wa hisa vodacom?
Mbona umeacha maswali muhimu kama
Mpaka mwisho wa wiki hii hisa zimeuzwa na kununuliwa kwa shi ngapi?
Kwa trend ilivyo mtu akinunua labda tuseme hisa za milioni moja baada ya miezi sita au mwaka atatengeneza faida kiasi gani? N.k n.k
hisa kuanzia 100Ivi kwa Vodacom, wanauza kuanzia shares ngapi kwa iyo Tshs 850.
Alafu nataka kujua kwamba katika HISA unazonunua unakuwa unaweza kuzitumia kama Dhamana ya kuchukulia Mkopo kwy Taasisi za Kifedha na je? Kwa kiwango gani cha HISA ulizo nazo au thamani ya izo hisa, unapata mkopo wa asilimia ngapi?
Ahsante.hisa kuanzia 100
umeshindwa kuanisha hizo faida..kwanini usingeliacha tuu?FAIDA ZA KUMILIKI HISA ZA VODACOM
Ukitaka kununua hisa lazima ujiulize maswali ambayo utaweza kuridhika kwa kiwango cha kutosha kununua Hisa za Vodacom ni rahisi kwani kampuni yenye huduma bora na yenye ubununifu wa kiwango cha juu;
•M-Pesa;
Vodacom ni waanzilishi wa huduma ya kutuma hela kwa kutumia mtandao wa simu kupitia M-Pesa, huduma inayosaidia kutuma na kupokea hela kutoka kila pande ya nchi.
•M-Pawa;
Huduma ya kujiwekea akiba, na kuweza kukopa kwa njia rahisi bila kuwa na dhamana.
Biashara ya uwekezaji ndani ya Vodacom ni rahisi na inayoeleweka katika makundi mbalimbali ya Jamii.
Vodacom ina historia nzuri katika uendeshaji wake tangu ilipoanzishwa haijawa kubadili jina lake kama makampuni mengine yalivyofanya.
Kampuni ya Vodacom mipango yake ni mizuri kwa kipindi cha muda mrefu yenye kulenga kufikia makundi yote nchi nzima.
Menejimenti ya Vodacom imekuwa ikifanya kazi kwa uweledi na ufanisi kibiashara katika kutanua mipaka ya kutanua soko lake na kulinda wateja wake.
Kampuni ya Vodacom imekuwa na mahusiano mazuri na share holders wake.
Vodacom imekuwa ikijijengea faida kupitia wateja wake na biashara bora ya huduma yenye kuaminika tangu kuanzishwa kwake nchini.
Vodacom ni Mtandao ulioaminiwa zaidi na watanzania kwa miaka zaidi ya 17, na unaendelea kuaminiwa, Uaminifu kwa wateja umeifanya kuwa kampuni bora ya mawasiliano, Ubora huu unafanya kuwa sehemu salama ya uwekezaji wako.
Wekeza na Vodacom
Nunua Hisa za Vodacom
Vodacom Tanzania.
Ukiwa na share certificate,unapata mkopo kwenye taasisi za fedha,wala usiwe na wasiwasi.tatizo ninaloliona mm,dhaman ya hisa kwa sasa haikui kwa kasi,kama miaka ya nyuma.pia nimeangalia hisa za makampun mengine makubwa kama sigara,tbl,crdb,nmb,nk.naona sinashuka tu,badala ya kuongezeka,napata hofu kidogo hasa hiki kipindi cha serkal hii,kama nitapata faida.Haya ndo angepaswa kueleza ili tujue faida za hisa
Thamani,sio dhaman.Ukiwa na share certificate,unapata mkopo kwenye taasisi za fedha,wala usiwe na wasiwasi.tatizo ninaloliona mm,dhaman ya hisa kwa sasa haikui kwa kasi,kama miaka ya nyuma.pia nimeangalia hisa za makampun mengine makubwa kama sigara,tbl,crdb,nmb,nk.naona sinashuka tu,badala ya kuongezeka,napata hofu kidogo hasa hiki kipindi cha serkal hii,kama nitapata faida.
Asante kwa angalizo japo lipo indirectlyUkiwa na share certificate,unapata mkopo kwenye taasisi za fedha,wala usiwe na wasiwasi.tatizo ninaloliona mm,dhaman ya hisa kwa sasa haikui kwa kasi,kama miaka ya nyuma.pia nimeangalia hisa za makampun mengine makubwa kama sigara,tbl,crdb,nmb,nk.naona sinashuka tu,badala ya kuongezeka,napata hofu kidogo hasa hiki kipindi cha serkal hii,kama nitapata faida.
Alafu kama kampuni imepata hasara wanatoa katika HISA zilizopo au inakuwaje.umeshindwa kuanisha hizo faida..kwanini usingeliacha tuu?
Watu wanatakiwa kujua faida ikipatikana hugaiwa kulinganana na idadi ya hisa uzomiliki...mwenye hisa 1000 hawezi pata sawa na mwenye hisa 100.
Halafu kama kampuni ikipata hasara hakuna gawio bali wote mwaka huo mtakuwa mmepata hasara.....
Pia gawio hutolewa mwisho wa mwaka.....
kazi yao kusema tu"ANGALIZO WASILIANA NA MTAALAM WAKO WA MAMBO YA KIFEDHA,
sasa sijui watanzania wangapi wenye wataalamu wao wa mambo ya kifedha