Antoinette
Member
- Dec 26, 2016
- 55
- 73
1.Yogurt inakusaidia kupunguza uzito maeneo ya tumbo.Kula angalau 18 ounces a day na utapungua atleast a jeans size. Inasemekana Kuwait watu wanaokula yogurt wanapunguza asilimia 22 zaidi ya watu wanaofanya diet na wasiokula kabisa yogurt. So badala ya kula icecream as a snack chukua plain yogurt and enjoy.
2.Most brands of yogurt contain good bacteria.Yogurt ina probiotics ambazo zinasaidia katika digestion na pia kusaidia kuondoa bacteria ambao wanaweza kukudhuru. Hivyo kama unasumbuliwa na kujaa kwa tumbo Au hupati choo then kula yogurt itakusaidia.
3. Yogurt imejaa vitamin.Kwenye serving moja tu utapata source za potassium, phosphorous, riboflavin, iodine, zinc, and vitamin B5 (pantothenic acid). Yogurt pia inacontain B12, ambayo inasaidia kutunza red blood cells zako na kukufanya uwe na afya. Inasemekana kuwa mwanamke anahitaji an eight ounce serving ya yogurt kila siku.
4. A cup of yogurt a day itakusaidia kurecover faster baada ya mazoezi. It has the right ratio of carbohydrates ambazo unahitaji baada ya mazoezi.
5. Not all yogurt is equal when it comes to calcium and vitamin D. Yogurt pia ina calcium, lakini so yogurt zote zinakuwa na amount sawa. Level za calcium huwa zinatofautiana. Always check ukiwa unanunua, Chagua zile zenye angalau 20% ya nutrients unazohitaji.
6. Yogurt inaweza kuzuia high blood pressure. Potassium ambayo ipo Kwenye yogurt inasaidia kutoa sodium iliyozidi mwilini kutokana na kula chumvi na hivyo kukuepusha kupata high blood pressure.
7. Yogurt inasaidia kuondoa na kuepusha mafua. Kula yogurt kila siku Inasemekana kuwa itakuepusha kupata mafua kwa kuwa utakuwa na strong T cells ambazo hupigana na magonjwa.Hata kama kula yogurt inafaida zake haimaanishi kuwa kila yogurt utakayoikuta supermarket itakupa hizi faida. Unatakiwa ufahamu kuangalia ingredients zake ili ujue exactly unachochukua. Plain and Greek yogurt is always the best for your health. Unaweza kuongeza vitu kama strawberries, karanga, na matunda mengine kama Unataka flavor. Lakini kumbuka the more you add the more calories
So lets eat Yogurt!!!