Abu Ubaidah Commando JF-Expert Member Sep 8, 2016 7,593 6,934 Nov 26, 2021 #21 Ben Zen Tarot said: Sio miguu tuu, mpaka vichwa na utumbo yaani hakitupwi kitu....!!! Click to expand... Aise marehemu ametufunza mengi sana, hatukutegemea 2tafika huko,,,haya yote hayakuwepo kwa kikwete π dahh maisha haya
Ben Zen Tarot said: Sio miguu tuu, mpaka vichwa na utumbo yaani hakitupwi kitu....!!! Click to expand... Aise marehemu ametufunza mengi sana, hatukutegemea 2tafika huko,,,haya yote hayakuwepo kwa kikwete π dahh maisha haya
PAND PIERI Senior Member Jul 30, 2020 183 270 Nov 27, 2021 #22 Mother Confessor said: Kuku hawahawa wasojitambua.?? Broilers,. Click to expand... Mwone.. hahaha, wanavyo zubaa.
Mother Confessor said: Kuku hawahawa wasojitambua.?? Broilers,. Click to expand... Mwone.. hahaha, wanavyo zubaa.
kishaija JF-Expert Member Jul 11, 2015 1,049 1,197 Nov 27, 2021 #23 Nzuri ipikwe kama supu au hata ikiungwa faida ni zilezile?