Na kwanini utumie ndizi? Wanaume ni wengi sana. Fikiria wale unaopishana nao asubuhi mpaka jioni kuanzia muuza kahawa, msukuma mikokoteni wote wale wana sex tools!vp kwa wale baadh ya wanawake wanaotumia ndizi kama sex tools .?
Ni kweli mkuuSafi sana.
Pia kuna makala moja niliiona inasema DNA ya binadamu na ya ndizi zina-match kwa asilimia kubwa sana (zaidi ya asilimia 50, ila sikumbuki exactly ni ngapi). Halafu unaambiwa mbu huwa attracted zaidi (hufuata zaidi) na binadamu ambaye amekula ndizi mda si mrefu.
we c mwanamke, nijibu kwa niaba ya wenzioNa kwanini utumie ndizi? Wanaume ni wengi sana. Fikiria wale unaopishana nao asubuhi mpaka jioni kuanzia muuza kahawa, msukuma mikokoteni wote wale wana sex tool.
we c mwanamke, nijibu kwa niaba ya wenzio
View attachment 910170
Ndizi ni tunda lenye vitamin C, B6, Potassium na Manganese.
75% ya ndizi ni maji, hivyo usipokuwa na uhakika wa maji salama ulaji wa ndizi unaweza kuokoa maisha yako.
Ukila ndizi wakati unakunywa pombe au unapoamka baada ya pombe husaidia kuzuia na kutibu hangover.
Ndizi ina aina ya protein ambayo mwili unauwezo wa kuibadilisha na kuwa melatonin. Hukufanya u relax na kuwa mwenye furaha.
Ndizi zina nutrients na energy inayokufanya uweze kufanya mazoezi kwa dakika 90 sukari ya ndizi ni monosaccharide hutumika instantly.
Wanasayansi wamegundua wanawake wanaokula ndizi wakiwa wanatafuta mtoto wana nafasi kubwa ya kujifungua mtoto wa kiume.
Ndizi mbivu hupunguza athari za magonjwa ya moyo.
Mtu asikudanye kuwa ukila ndizi nyingi utaji overdose na Potassium. Overdose hutokea baada ya kula ndizi 480!
Nimecheka sana mkutanoni mamaaeeeUkitaka watu wale ndizi unaambie zinaongeza ukubwa wa Dudu, kesho asubuhi Soko la Ndizi Mabibo hutakuta hata kipande Kimoja cha ndizi
Ni kweli mkuu, mosquitos are attracted to people who have recently eaten banana.Safi sana.
Pia kuna makala moja niliiona inasema DNA ya binadamu na ya ndizi zina-match kwa asilimia kubwa sana (zaidi ya asilimia 50, ila sikumbuki exactly ni ngapi). Halafu unaambiwa mbu huwa attracted zaidi (hufuata zaidi) na binadamu ambaye amekula ndizi mda si mrefu.
View attachment 910170
Ndizi ni tunda lenye vitamin C, B6, Potassium na Manganese.
75% ya ndizi ni maji, hivyo usipokuwa na uhakika wa maji salama ulaji wa ndizi unaweza kuokoa maisha yako.
Ukila ndizi wakati unakunywa pombe au unapoamka baada ya pombe husaidia kuzuia na kutibu hangover.
Ndizi ina aina ya protein ambayo mwili unauwezo wa kuibadilisha na kuwa melatonin. Hukufanya u relax na kuwa mwenye furaha.
Ndizi zina nutrients na energy inayokufanya uweze kufanya mazoezi kwa dakika 90 sukari ya ndizi ni monosaccharide hutumika instantly.
Wanasayansi wamegundua wanawake wanaokula ndizi wakiwa wanatafuta mtoto wana nafasi kubwa ya kujifungua mtoto wa kiume.
Ndizi mbivu hupunguza athari za magonjwa ya moyo.
Mtu asikudanye kuwa ukila ndizi nyingi utaji overdose na Potassium. Overdose hutokea baada ya kula ndizi 480!
Wanawake wa Bukoba "wanarusha sana maji",nasikia ni kwasababu ya ndizi.Pia zinasidia kunako 6 vs 6