Faida za kula bamia kiafya

Bamia inatibu kabisa tatizo la upungufu wa nguvu za kujamiiana kwa jinsia zote hasa wanaume.
Huponya kabisa wapiga punyeto.
Bamia inatibu kabisa tatizo la upungufu wa nguvu za kujamiiana kwa jinsia zote hasa wanaume.
Huponya kabisa wapiga punyeto.
Miss Zomboko eti hii nayo ni kweli au porojo ... nataka nikanunue KIROBA KABISAA NIKIWEKE NDANI😜 😀😀
 
Hapo kwenye vidonda vya tumbo mimi ni shuhuda zinasaidia sana ukichemsha kidogo ukanywa supu yake na kuzitafuna zenyewe,
Gas itatoka, maumivu ya tumbo yataisha.
unatumia kutwa mara ngapi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…