Faida za kujiamini

Faida za kujiamini

Zozotoli

Member
Joined
Jun 21, 2021
Posts
22
Reaction score
53
Kujiamini raha saana

Ni sema asanteni kwa wana jamii wote mliokuwa mkitowa maoni kwenye post zangu kipindi nateswa na mapenzi

Ndugu zangu nili kuwa kama zoba fulani ivi nikimpenda mwanamke nili kuwa na mpenda kweli kweli mpaka na jisau

Sasa kwa bahati mbaya nilimpenda mdada fulani ambaye tulifikia atuwa ya kufunga ndoa mimi na yeye mwanadada uyo akaniacha na kukana cheti changu cha ndoa eti ni fake dah maneno yake ukweli It pained me so much nika kosa raha nikiwa mtu wa mastress kila kukicha kuomba msamaha kwake mtoto wa kike akawa Ana kula chini kabisa mpaka alifikia atua ya kuhanza kupost ma bwana zake nika jaribu kutangatanga kuomba msaada wa mawazo kwa marafiki tumia marafiki zake mpaka wazazi wake ki ukweli mtoto wa kike alikataha kweli kweli

Niliumia saana and last time nika ona acha kwanza ni ombe ushauri uku mtandaoni maana ushauri wa marafiki ukweli ahukufanya chochote kwangu

Nika omba ushauri wa kwanza alianzaga kunitukana dah ki ukweli nika kataa tamaa kweli kweli wa pili akaja kuniambia ni achane naye tu bila kunipa jia sahii ya kumuacha nika baki na maumivu tu moyoni when I see her face is so cute kweli kweli eti ni muache ahende dah nika ona mtandaoni nako akufai nikatafuta wa ganga wa asili ki ukweli nili aribu pesa pasipo mafanikio dah

Siku nyingine ukweli nika ingia uku jf kuomba ushauri maana mara ya kwanza niliomba fb ukweli nika kutana na watu wanao jua kushauri dah ama kweli nilipewa madini ya kweli kweli nika anza kufanyia kazi madini yale yaani ushauri ule ukweli nili jikuta nime jiamini na mtoto wa kike nika msau na nika jitambuwa na yote niliyo mfanyia nika ona ni kama msaada tu niliyo mpa ukweli ni kwamba bahati ya apo sasa nikawa on fire in relationships mpaka sasa ivi Nina mchumba mzuri tena zaidi ya yule wa zamani

Cha ajabu yule wa zamani mara ya mwisho nilisikia Ali pewa mimba na aka achika

Sasa mwenzio sasa ivi nipo zangu kigoma kupiga vibaruwa vyangu ili nikipata pesa nije kufungua Biashara vyangu

Ushauri wangu kwa vijana wenzagu ni kuwa mapenzi ni kitu kizuri ukiona mpenzi uliye naye Ana kuzinguwa don’t force her to come for you my bro you will lose your life

Yaani wewe achana naye mtampata mwingine zaidi yake na kizuri ni kuwa mwanaume anaga chaguo he can live na mwanamke yeyote yule

Ila kwa mwanamke ilo aliwezekani mfano she left you na she bigin an other relationship with an other man ukweli ni kwamba kama wewe uli kuwa una msamini na kumjali na yule aliye naye hamsamini au kumjali ukweli ata kumiss saana ila kwetu sisi wanaume mambo ayo yapo ila so saana

Sorry kwa mwandiko wangu
 
Back
Top Bottom