Faida za kufanya biashara kama kampuni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Faida za kufanya biashara kama kampuni

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Mgoda simtwange, Sep 24, 2012.

 1. M

  Mgoda simtwange Senior Member

  #1
  Sep 24, 2012
  Joined: Sep 7, 2012
  Messages: 158
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Kuna faida gani kuendesha biashara au shughuli yoyote kikawaida (yaani bila kusajili kama kampuni) na kuisajili/kuiendesha biashara.shuguli yoyote kama kampuni? Tusaidiane jamani tujue mwelekeo wa maisha yetu hasa sisi vijana
   
 2. B

  Buza Member

  #2
  Sep 26, 2012
  Joined: Aug 7, 2011
  Messages: 57
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Msaada jamani tuko wengi hatujui p/l
   
Loading...