kupanga ni kuchagua, wanasiasa wanafurahia hizo fitina na matusi, lkn mwenzangu na mimi bora ulikwepe hilo jukwaaAhsante mkuu..ila jukwaa la siasa linaongeza msongo wa mawazo
Mfano jamaa mmoja kaandika blog zinaongoza kwa kuharibu kiswahili zinakosea sana spellings zikiona hivyo lazima zitajirekebisha huo mfano mdogo mmoja tuKweli kabisa...ila hilo la tabia sijajua ki vipi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nimepata mpenzi wa kweli Mung Chris na ka-baby kake kanacheza tumboni mida hii
Duh hongera...kumbe JF inafanya mambo mpaka hayaNimepata mpenzi wa kweli Mung Chris na ka-baby kake kanacheza tumboni mida hii
SweetNimepata mpenzi wa kweli Mung Chris na ka-baby kake kanacheza tumboni mida hii
Kabisa mkuu.Duh hongera...kumbe JF inafanya mambo mpaka haya