bartenderznz
JF-Expert Member
- Jul 18, 2016
- 398
- 195
Na unaweza changanya bia na konyagi au mbege?
Na unaweza changanya bia na konyagi au mbege?
- zinapunguza uchakavu wa fenicha za ndani kwa kuwa watumiaji hawakai nyumbani wanakaa bar hivyo kama ni viti vinaongeza muda wa maisha.
- vinaongeza matumizi mengine ya nafaka kama ngano kwa kupikwa kivingine (chapati katika kimiminika)