Faida ya TBL imeshuka mwaka 2018

Shenzi kabisa si wanatuchongea kwa mapolisi eti tupimwe ulevi road
 
Halafu hawa wajinga hawajitambui. Ili kupandisha faida ndio maana wamepandisha bei ya bia?
 
Bia zao siku hz zina ladha mbaya, wajitathmini.
Na hivi wamezipandisha bei ndo kabsaaa tunahamia SBL
 
Kwan tbl wao wanazalish viroba.watu hawanywi bia siku izi.mtu akachukua zake konyagi kubwa 8500 duka la jumla ma 7up yake Basi anazuuza Na bia Moja...kifup bia ni kusuuza tuu
 

Walishajisahau kale kausemi kanakosema “UKIWA MWONGO USIWE MSAHAULIFU”[emoji3][emoji3]
 
Huku Mwanza bia zao zile ndogo ndogo zimepanda bei kutoka Tshs1,500/= sasa ni Tshs.1.700/= kwa chupa moja😡😡😡😡😡😡
Sio mwanza tu chikira,ni kote nadhani maana hata dar bei ni hyo hyo.

Tulijua agost mosi bei itashuka itakuwa buku badala yake ikapanda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…