jamani mbona mnatuchanganya kipindi jiwe alipokutana na wafanya biashara nadhani mwezi wa nne mwaka huu akasema ameongea na mtendaji mkuu wa tbl kuwa toka wamefungua kiwanda cha bia Tz miakaa hiyo hakuna miaka ambayo mauzo yao yamepanda kama kipindi hiki cha miaka mitatu!!!watu tuna bisha tukasema haiwezekani kwani hali halisi ya unywaji wa bia mtaani tunauona,nyumbu wakaja juu!!hivi huwa wanasema uongo ili iweje lakini??uchumi ni nambaView attachment 879265
Faida ya Kampuni ya Bia#Tanzania (TBL) katika nusu ya kwanza ya mwaka 2018 imeshuka kwa asilimia 16 hadi TZS bilioni 64.5 kutoka TZS bilioni 77.13 katika kipindi kama hicho mwaka jana. Kushuka huko kumechangiwa na kuzuiwa kwa pombe za viroba, na mazingira magumu ya biashara.
Hizo sababu zilizotajwa hapo juu ndiyo hizo kweli au kuna sababu zingine?
NakaziaMuda wa kunywa urudi kama zamani
Nimekuelewa Sana, Kilimanjaro ndogo ikoje asee nainywa tu nikiwa na arosto ila haivutiii km ile kubwa ya zamaniWakianza kutengeneza beer zile za Kilimanjaro kubwa zenye TASTES MURUA tutarudi tena,sio haya matakataka wanayotengeneza sasa.
Aisee wameziharibu kishenzi mwana,tunakunywa matakataka tu siku hizi mkuu.Nimekuelewa Sana, Kilimanjaro ndogo ikoje asee nainywa tu nikiwa na arosto ila haivutiii km ile kubwa ya zamani