Faida ya matangazo kwenye Majarida

Mkuu ni wazo zuri sana. Ila ninavyo jua mimi ghalama za matangazo kwenye majarida zinategemeana na mambo mengi sana.
1.ukubwa wa tangazo
2. Langi
3.page lilipo kama ni nje ya jarida ndani au nyuma
4.eneo gazeti linapo sambazwa
So unaweza anzisha kwa kutafuta makampuni ambayo utakiwa unayatangazia bidhaa au huduma yao. Na ni vizuti gazeti likawa na makara zingine ili ku jtia wasomaji na ni lazima utafute njia nzuri za kusambaza
 
KOMANDOO;
Shukrani xana mkuu kwa kunfumbua macho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…