fafanua ni matunda yapi au unazungumzia juisimatunda pia yanauwezo w kukupa ugonjw wa kisukar sababu yanaingia kwenye damu haraka bila kumengenyw sana mkibisha nitafafanua kula kias tafadhali
M nabisha em fafabua tufaidike tusikalilimatunda pia yanauwezo w kukupa ugonjw wa kisukar sababu yanaingia kwenye damu haraka bila kumengenyw sana mkibisha nitafafanua kula kias tafadhali
kuna kitu kinaitwa bloodsugar crush hii ni hali inayotokana na kiwango kikubwa cha sukari kuingia kwenye damu kwa gafla ikitokea hali hii mwili unapambana ili kuondoa sukari hii haraka ndani ya damu kwani sukar ikijaa kitu cha kwanza ni uchovu usingiz au uvivu weng wanajua hii kitu wakishakula kwani hiona hali hii maana sukar imepanda ukienda kulala au kukaa ndio kongosho inatoa insulin ili kuondoa sukar sasa kongosho itatoa insulin kila siku mpaka itachoka na kupata ugonjwa wa kisukarifafanua ni matunda yapi au unazungumzia juisi
kula kias na usichanfanye matunda kula chungwa moja mchana jion tunda lingine sio meng kwa pamoja otherwise ule kisha ufanye mazoez kwa nusu saa ili kuchoma sukar ipungue japo tatu au nneMmmmhh mkuu kweli ndo sayansi lakni sasa inakanganya sana uleje sasa???
Nafikiri tupate wataalamu wengine watusaidie hasa kwenye hili la matunda tuachane na juice na soda ambazo zipo wazi. Watujibu kula matunda mengine kunaweza kuletea kupata kisukari???? wapi@mzizimkavu, kongosho etc.??kuna kitu kinaitwa bloodsugar crush hii ni hali inayotokana na kiwango kikubwa cha sukari kuingia kwenye damu kwa gafla ikitokea hali hii mwili unapambana ili kuondoa sukari hii haraka ndani ya damu kwani sukar ikijaa kitu cha kwanza ni uchovu usingiz au uvivu weng wanajua hii kitu wakishakula kwani hiona hali hii maana sukar imepanda ukienda kulala au kukaa ndio kongosho inatoa insulin ili kuondoa sukar sasa kongosho itatoa insulin kila siku mpaka itachoka na kupata ugonjwa wa kisukari
mwili wako kimiminika pekee kitachoingia bila kuleta madhara ni maji tu kwan hayana sukar juisi ni harakati za wazungu kuraisisha mambo ila side effect ni kujaza sukar kwa pamoja hivyo mwili inapata tabu kuiondoa
ndiz ina gram 15 za sukar
tikiti gram 25
chungwa gramu 18
karot gram 2
na nk soda ina gram 40 sawa na vijiko kumi vya sukar vya chai
mtu anaetumia soda kila siku baada ya miaka tano atakua na hatar ya kupata ugonjwa huu wa sukar
sababu ataingiza zaid ya gramu 50 au 45 kila siku ukijumlisha na za chakula cha kawaida
sasa chukulia umekula chakula na kula machungwa mawili jumla 36 gramu kisha ndizi mbili jumla 30 plus 36 ni 66 ukipata na tikit itakua ni zaid ya 70 sasa wewe tunasema hutosubir miaka tano bali itabidi uchukue miak mitatu tu kuanza kupata ugonjwa huu kwani utakua umeingiza gramu zaid ya 70 sawa na vijiko 20 vya sukar..
ni vizur waje tufanye debate hapa unajua hivi vitu watu hawaambiwi side effect kwa sababu za kibiashara na waafrika weng hawapend kusoma au kujifunzaNafikiri tupate wataalamu wengine watusaidie hasa kwenye hili la matunda tuachane na juice na soda ambazo zipo wazi. Watujibu kula matunda mengine kunaweza kuletea kupata kisukari???? wapi@mzizimkavu, kongosho etc.??