Sam 2013 JF-Expert Member Joined Sep 17, 2013 Posts 484 Reaction score 492 Dec 4, 2019 #1 Napenda kufahamu faida inayopatikana kwa Mawakala wa Fahari Huduma CRDB. Kati ya Uwakala wa Benki na Uwakala wa Simu (M-Pesa na mingine), kipi kina faida zaidi?
Napenda kufahamu faida inayopatikana kwa Mawakala wa Fahari Huduma CRDB. Kati ya Uwakala wa Benki na Uwakala wa Simu (M-Pesa na mingine), kipi kina faida zaidi?
CONTROLA JF-Expert Member Joined Sep 15, 2019 Posts 7,167 Reaction score 24,127 Jan 3, 2020 #2 uwakala wa BENKI huwezi ufananisha na vi sh 300 vya Miamala ya Simu,hivyo basi kama pesa unayo Fatilia uwakala wa BANK utanikumbuka mbele ya safari huko.
uwakala wa BENKI huwezi ufananisha na vi sh 300 vya Miamala ya Simu,hivyo basi kama pesa unayo Fatilia uwakala wa BANK utanikumbuka mbele ya safari huko.