faida tangu umejiunga jf

mitale na midimu

JF-Expert Member
Aug 26, 2015
10,203
2,000
za harakaharaka

1: Marafiki wa kilimo na kupenda mbinu hadimu za kutoka maishani
2:Nimeijua dunia katika vizio mbalimbali yaani siasa,michezo,dini na sayansi
3:Kupata msaada wa ushauri na kitaalamu muda wowote 24hrs bila ubinafsi
4:Nimejifunza kiswahili fasaha japo ni suala endelevu
5:Nimepata Vitabu bure ambavyo nisingevipata popote
6:Nikitaka kwenda popote tanzania NA SEHEMU NYINGI DUNIANI, sina haja ya kuhangaika nitauliza humu utakutana na kila mtu watakuelekeza hadi kwa balozi wa nyumba kumi.
...

Haya na mengine mengi ambayo huwezi kuyapata popote tanzania,
JF ni zaidi ya Kokoro la maarifa

Ongeza kwenye list chochote kizuri...


[HASHTAG]#Free[/HASHTAG] Mr Mero
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom