Faida ngono kwa kiwango bora kunapunguza Presha.

Faida ngono kwa kiwango bora kunapunguza Presha.

#Majanga

Mwaka wa majanga huu kwangu!!!

Leo nimeamini kufanya ngono kwa jitihada kunafaida nyingi ila kubwa zaidi presha inakwishaaaa, uzito wote kwishney unakuwa mwepesiiiiiiii.

Leo majogoo nimemkalia mtoto wa kichaga walah haki yanani yaani nimepiga game balaaa, ametikisa nyavu mara 4 wakati mimi nimecheka na nyavu mara 1 tu tena kwa raha ya juuu sana! Duh, baada ya hapo sasa nimekuwa mwepesiiiii, nilikuwa nahisi kama presha hivi wapiiii tena niko mwepesi nadunda zangu ofisini kwa rahaaaaaa mstarehe.

Dr. MziziMkavu thibitisha hili.

Wekend njema.

Mkuu pata 10 suprising Health Benefits of Sex. Zingatia kufanya sex halali
Source: 10 Surprising Health Benefits of Sex
[h=3]1. Less Stress, Better Blood Pressure[/h] Having sex could lower your stress and your blood pressure.
That finding comes from a Scottish study of 24 women and 22 men who kept records of their sexual activity. The researchers put them in stressful situations -- such as speaking in public and doing math out loud -- and checked their blood pressure.
People who had had intercourse responded better to stress than those who engaged in other sexual behaviors or abstained.
Another study found that diastolic blood pressure (the bottom number of your blood pressure) tends to be lower in people who live together and have sex often.
[h=3]2. Sex Boosts Immunity[/h] Having sex once or twice a week has been linked with higher levels of an antibody called immunoglobulin A, or IgA, which can protect you from getting colds and other infections.
A Wilkes University study had 112 college students keep records of how often they had sex and also provide saliva samples for the study. Those who had sex once or twice a week had higher levels of IgA, an antibody that could help you avoid a cold or other infection, than other students.
[h=3]3. Sex Burns Calories[/h] Thirty minutes of sex burns 85 calories or more. It may not sound like much, but it adds up: 42 half-hour sessions will burn 3,570 calories, more than enough to lose a pound. Doubling up, you could drop that pound in 21 hour-long sessions.
"Sex is a great mode of exercise," Los Angeles sexologist Patti Britton, says. It takes both physical and psychological work, though, to do it well, she says.
[h=3]4. Sex Improves Heart Health[/h] A 20-year-long British study shows that men who had sex two or more times a week were half as likely to have a fatal heart attack than men who had sex less than once a month.
And although some older folks may worry that sex could cause a stroke, the study found no link between how often men had sex and how likely they were to have a stroke.
[h=3]5. Better Self-Esteem[/h] University of Texas researchers found that boosting self-esteem was one of 237 reasons people have sex.
That finding makes sense to sex, marriage, and family therapist Gina Ogden. She also says that those who already have self-esteem say they sometimes have sex to feel even better.
"One of the reasons people say they have sex is to feel good about themselves," she says. "Great sex begins with self-esteem. If the sex is loving, connected, and what you want, it raises it."
Of course, you don't have to have lots of sex to feel good about yourself. Your self-esteem is all about you -- not someone else. But if you're already feeling good about yourself, a great sex life may help you feel even better.

[h=3]Deeper Intimacy[/h] Having sex and orgasms boosts levels of the hormone oxytocin, the so-called love hormone, which helps people bond and build trust.
In a study of 59 women, researchers checked their oxytocin levels before and after the women hugged their partners. The women had higher oxytocin levels if they had more of that physical contact with their partner.
Higher oxytocin levels have also been linked with a feeling of generosity. So snuggle up -- it might help you feel more generous toward your partner.
[h=3]7. Sex May Turn Down Pain[/h] Oxytocin also boosts your body's painkillers, called endorphins. Headache, arthritis pain, or PMS symptoms may improve after sex.
In one study, 48 people inhaled oxytocin vapor and then had their fingers pricked. The oxytocin cut their pain threshold by more than half.
[h=3]8. More Ejaculations May Make Prostate Cancer Less Likely[/h] Research shows that frequent ejaculations, especially in 20-something men, may lower the risk of getting prostate cancer later in life.
A study published in the Journal of the American Medical Association found that men who had 21 or more ejaculations a month were less likely to get prostate cancer than those who had four to seven ejaculations per month.
The study doesn't prove that ejaculations were the only factor that mattered. Many things affect a person's odds of developing cancer. But when the researchers took that into consideration, the findings still held.
[h=3]9. Stronger Pelvic Floor Muscles[/h] For women, doing pelvic floor muscle exercises called Kegels may mean more pleasure -- and, as a perk, less chance of incontinence later in life.
To do a basic Kegel exercise, tighten the muscles of your pelvic floor as if you're trying to stop the flow of urine. Count to three, then release.
[h=3]10. Better Sleep[/h] The oxytocin released during orgasm also promotes sleep, research shows.
Getting enough sleep has also been linked with a host of other health benefits, such as a healthy weight and better blood pressure.

Siku njema
 
Daima huwa niko against na most of guys thinking, kuna nyimbo flan inaitwa "Mtazamo" aliimba solo than, prof jay na afande yaani iko vizuri kuanzia beat yake hata ujumbe ila jema zaidi haikugusa mapenzi, hapa namaanisha vijana wengi wanafikiri kuhusu mapenzi zaidi kuliko mAisha na changamoto zake kwa ujumla, sasa ww kutueleza cc kuhusu hiyo mihemko yako hv unajielewa kweli ww; nina mashaka na uelewa wako harafu nakuhurumia coz unaonekana ni msaka tonge mwenzangu ambaye ungepaswa kutafakari kesho yako kuliko ngono unayowaza,,, pole ww

Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
 
Kila kitu kina faida na hasara, kina tamu na chungu, leo pressure kwishnei kesho utakuja kutulalamikia kale kabinti kanakupa pressure, mara kila siku kanaomba hela, mara hivi mara vile, kwahiyo jiandae kwa lolote raha na karaha hayo ndo mapenzi usitarajie raha kila siku kuna kipindi cha karaha. Chezea mapenzi wewe
 
hahahahaha ndo maana unapost kwa kutumia blakeberi ashadii via jamii forum ahahahahaha. usilinganishe watu wote na kile wewe unachokiamini au kukielewa mpaka ukaanza kumpa pole mtu. unauhakika gani kuwa wewe u aheri zaidi yangu? unauhakika mwamko wako uko sahihi zaidi ya huu wangu? mimi nakupa hongera katika msimamo wako, nami najipa hongera katika msimamo wangu.
 
Kila kitu kina faida na hasara, kina tamu na chungu, leo pressure kwishnei kesho utakuja kutulalamikia kale kabinti kanakupa pressure, mara kila siku kanaomba hela, mara hivi mara vile, kwahiyo jiandae kwa lolote raha na karaha hayo ndo mapenzi usitarajie raha kila siku kuna kipindi cha karaha. Chezea mapenzi wewe

kakiomba pesa katapata bila chenga
 
Unanikumbusha ule wimbo wa LJD, Upepo hakuna!!!, na pesa hakuna!! watoto wanajimwaga tu kwenye floor raha mpaka ugokoni!!!!!,Kudadaaaaaadeki!
 
Ovyooooo hujafaidi chochote sifa tu,we ndo umeona cha kutuambia sisi,ukikuta wajuzi utakufa si umekutana na bolozozo mara nne wapi.
 
#Majanga

Mwaka wa majanga huu kwangu!!!

Leo nimeamini kufanya ngono kwa jitihada kunafaida nyingi ila kubwa zaidi presha inakwishaaaa, uzito wote kwishney unakuwa mwepesiiiiiiii.

Leo majogoo nimemkalia mtoto wa kichaga walah haki yanani yaani nimepiga game balaaa, ametikisa nyavu mara 4 wakati mimi nimecheka na nyavu mara 1 tu tena kwa raha ya juuu sana! Duh, baada ya hapo sasa nimekuwa mwepesiiiii, nilikuwa nahisi kama presha hivi wapiiii tena niko mwepesi nadunda zangu ofisini kwa rahaaaaaa mstarehe.

Dr. MziziMkavu thibitisha hili.

Wekend njema.

#Majanga

Tunashukuru umeshea jinsi ulivofaidi leo tendo la ngono/ndoa.....
illa jamani hebu tufanyeni mazoezi kila siku wa kina sakapal,kaunga,smile wanafanya mazoezi huwa wamuwaoni?

MAZOEZI YANAONGEZA MSUKUMO WA DAMU UWE MZURI,Yanafanya uwe mwepesi,umeshawafanya Aerobics?ni nzuri sana hiii,ukipenda kufanya mazoezi kama mimi utaweza kumudu tendo la ndoa hata dk 57 bila kuona goli,au kuchoka,pia mwili wako utajengeka sana,mi huwa nakimbia alfajiri toka Temboni mpaka ubungo na kurudi.....pia kwenda kufanya Aerobics....
Punguza pia mavyakula ya kisasa.....
 
#Majanga

Mwaka wa majanga huu kwangu!!!

Leo nimeamini kufanya ngono kwa jitihada kunafaida nyingi ila kubwa zaidi presha inakwishaaaa, uzito wote kwishney unakuwa mwepesiiiiiiii.

Leo majogoo nimemkalia mtoto wa kichaga walah haki yanani yaani nimepiga game balaaa, ametikisa nyavu mara 4 wakati mimi nimecheka na nyavu mara 1 tu tena kwa raha ya juuu sana! Duh, baada ya hapo sasa nimekuwa mwepesiiiii, nilikuwa nahisi kama presha hivi wapiiii tena niko mwepesi nadunda zangu ofisini kwa rahaaaaaa mstarehe.

Dr. MziziMkavu thibitisha hili.

Wekend njema.

#Majanga
Mkuu Majaribu2013 Siwezi kuthibisha kwa sababu umetenda tendo la zinaa la ngono ungelikuwa umefanya na mkeo wako hapo ningekupa Faida ya tendo la ndoa lakini wewe umezini siwezi kukupongeza kabisa samahani.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom