Elifuraha Longu
Member
- May 8, 2014
- 73
- 10
Jini ni viumbe ambao hawaonekani kwa macho ya kibinadamu,wanamwabudu Mungu kama kawaida,Jini aliyeasi ndio anaitwa shetani,,,huyu ndio anashirikiana na binadamu kutimiza mambo yao,Kushirikiana na Mashetani ni hatari sababu kuna masharti lazima watakupa ili kutekeleza mambo yako,,,mfano Hela za majini,,,kumbuka kuwa majini hawana hela,,hela wanazowapa binadamu ni zile walizoiba kwa binadamu wengine mfano dukani,bar,hotelini etc,Majini wana serikali yao kama binadamu walivonayo wao wana hela zao na kamwe hazifanani na zetu,,Kumbuka shetani alimuasi mungu kwa kukataa kumsujudia Adam na akafukuzwa mbinguni na aliapa kuwapotosha wanadamu mpaka siku ya mwisho ili asichomwe moto mwenyewe.
Niliambiwa nimetupiwa jini,sasa nitajuaje kwamba ninalo jini na nitalitoaje pia nitajuaje kuwa limetoka na kwanini mtu akutupie jini na likubali kukuingia bila ridhaa yake?mimi ni muislamu na ninacho amin kutoka katika kitabu kisichokua na shaka ndani yake (qur an) ni kwamba ni kosa kwa jini kumuingia binadamu ni kweli majini yameubwa ili kumuabudu m.mungu,
kama jinsi ilivyo pia binadamu wameubwa ili kumwabudu m.mungu, tofauti kuu kati ya binadamu na jini ni kwamba binadamu ameubwa kwa udongo wakati jini ameumbwa kwa moto,
pia jini anauwezo wa kumuona binadamu ila binadamu hana uwezo wa kumuona jini .Hawa viumbe jini akikuingia humuoni lakini madhara yake utayaona ni kama bacteria vile.elimu hii ni ndefu sana lakini kiufupi naomba kuishia hapa kwa muda huu.
kama unataka kutoa jini wewe mwenyewe inshallah kuna taratibu za kufuata tuwasiliane nikupe utafanya hapo hapo ulipo na inshallah kwa uwezo wa m.mungu jini atakua ni mwenye kuondoka huduma hii ni bure kabisa.
Masharti hayo yana madhara gani kwa binadamu, mkuu
Niliambiwa nimetupiwa jini,sasa nitajuaje kwamba ninalo jini na nitalitoaje pia nitajuaje kuwa limetoka na kwanini mtu akutupie jini na likubali kukuingia bila ridhaa yake?