Faida na madhara ya kuwa na jini

Faida na madhara ya kuwa na jini

Joined
May 8, 2014
Posts
73
Reaction score
10
Nimatumaini yangu wanajamvi wote hamjambo.

Nimepitia baadhi ya thread humu jf pia nimesoma vitabu mbalimbali kuhusu viumbe maJini, jinsi ya kuishi nao na kumtumia kupata mali na utajiri, pia wanasema kuna jini wema na wabaya, majini wema hawana madhara kwa binadamu ila majini wabaya huwadhuru binadamu.

Lakini ni kweli binadamu anaweza kuishi na hawa viumbe hatari?

Karibu tujadili kwa pamoja!
 
Mkuu umeniogopesha..majini wema?,ngoja tuwasubili wanaojua Zaidi watupe ufahamu wao.
 
Jini baya kuliko lote ni lile la wale jamaa wanaouwa Albino na kusababisha ajali ili wanywe damu kwa kutumwa na waganga ili washinde vyeo mbalimbali. Wanajijua.
 
Jini ni viumbe ambao hawaonekani kwa macho ya kibinadamu,wanamwabudu Mungu kama kawaida,Jini aliyeasi ndio anaitwa shetani,,,huyu ndio anashirikiana na binadamu kutimiza mambo yao,Kushirikiana na Mashetani ni hatari sababu kuna masharti lazima watakupa ili kutekeleza mambo yako,,,mfano Hela za majini,,,kumbuka kuwa majini hawana hela,,hela wanazowapa binadamu ni zile walizoiba kwa binadamu wengine mfano dukani,bar,hotelini etc,Majini wana serikali yao kama binadamu walivonayo wao wana hela zao na kamwe hazifanani na zetu,,Kumbuka shetani alimuasi mungu kwa kukataa kumsujudia Adam na akafukuzwa mbinguni na aliapa kuwapotosha wanadamu mpaka siku ya mwisho ili asichomwe moto mwenyewe.
 
Masharti hayo yana madhara gani kwa binadamu, mkuu
 
Masharti yao ni magumu sana inabidi na wewe uwe mchawi,sababu mchawi ni agent wa shetani,,watakutimizia mahitaji yako lakini inabidi na wewe utimize ya kwao kama kuwatesa watu wasio na hatia,kuua etc hawafai kabisa hao mkuu ukitaka kujua hawana maana soma kisa cha nabii adam utaona.
 
Hakuna mambo hayo siku hizi.Ilikuwa enzi hizo mungu anaongea na binadamu moja kwa moja.Kilichobaki siku hizi ni hadithi za kusadikika.
 
sharti kama la kwenda kuoga coco beach bila nguo kila ijumaa saa saba mchana :eyebrows: :rockon:
 
mimi ni muislamu na ninacho amin kutoka katika kitabu kisichokua na shaka ndani yake (qur an) ni kwamba ni kosa kwa jini kumuingia binadamu ni kweli majini yameubwa ili kumuabudu m.mungu,

kama jinsi ilivyo pia binadamu wameubwa ili kumwabudu m.mungu, tofauti kuu kati ya binadamu na jini ni kwamba binadamu ameubwa kwa udongo wakati jini ameumbwa kwa moto,

pia jini anauwezo wa kumuona binadamu ila binadamu hana uwezo wa kumuona jini .Hawa viumbe jini akikuingia humuoni lakini madhara yake utayaona ni kama bacteria vile.elimu hii ni ndefu sana lakini kiufupi naomba kuishia hapa kwa muda huu.

kama unataka kutoa jini wewe mwenyewe inshallah kuna taratibu za kufuata tuwasiliane nikupe utafanya hapo hapo ulipo na inshallah kwa uwezo wa m.mungu jini atakua ni mwenye kuondoka huduma hii ni bure kabisa.
 
majini wana akili na roho kama binadamu tofauti ni kwamba majini hawana mwili ukiweza kuwa control utawatumia unavyotaka na watakuogopa ukishindwa watakutawala wao na hapo ndo utajuta kuzaliwa!
 
mimi ni muislamu na ninacho amin kutoka katika kitabu kisichokua na shaka ndani yake (qur an) ni kwamba ni kosa kwa jini kumuingia binadamu ni kweli majini yameubwa ili kumuabudu m.mungu,

kama jinsi ilivyo pia binadamu wameubwa ili kumwabudu m.mungu, tofauti kuu kati ya binadamu na jini ni kwamba binadamu ameubwa kwa udongo wakati jini ameumbwa kwa moto,

pia jini anauwezo wa kumuona binadamu ila binadamu hana uwezo wa kumuona jini .Hawa viumbe jini akikuingia humuoni lakini madhara yake utayaona ni kama bacteria vile.elimu hii ni ndefu sana lakini kiufupi naomba kuishia hapa kwa muda huu.

kama unataka kutoa jini wewe mwenyewe inshallah kuna taratibu za kufuata tuwasiliane nikupe utafanya hapo hapo ulipo na inshallah kwa uwezo wa m.mungu jini atakua ni mwenye kuondoka huduma hii ni bure kabisa.
Niliambiwa nimetupiwa jini,sasa nitajuaje kwamba ninalo jini na nitalitoaje pia nitajuaje kuwa limetoka na kwanini mtu akutupie jini na likubali kukuingia bila ridhaa yake?
 
Niliambiwa nimetupiwa jini,sasa nitajuaje kwamba ninalo jini na nitalitoaje pia nitajuaje kuwa limetoka na kwanini mtu akutupie jini na likubali kukuingia bila ridhaa yake?

nitumie namba yako kwenye pm kuna video vya dua /maombi nitakutumia nawe utazisikiliza kwa maelekezo nitakayo kupa kama vile usiwe umekunywa pombe, umekaa uchi etc
maombi au dua hizi ni zile zinazo mwambie jini kuwa anacho kifanya ni makosa kwa kukaa katika mwili wa binadamu
pia kuna aya zinamsii jini sasa atoke kwa kuwa anachokifanya ni kosa na ataadhibiwa siku ya mwisho.
pia kuna aya ambazo zitakua zinamuadhibu au kumletea kero na hivyo atakua ana la kufanya isipo kuwa kupata adhabu au kukimbia na kuondoka kwa indhini ya mwenyezi mungu mkuu wa yote
ukiamini itakusaidia pia kuna utaratibu wa maisha unapaswa kuishi ili uwe free fom these jinns
dalili ni nyingi kwa mfano ukisikiliza video hizi kwa utaratibu utaona unaanza kuweweseka na kulia kama una jinni zipo dalili nyingi ila hizi ni dalili kuu asante kwa sasa
 
Back
Top Bottom