Faida na hasara za kumsifia mwanamke

Faida na hasara za kumsifia mwanamke

FERTILIZER

Member
Joined
Oct 23, 2014
Posts
60
Reaction score
5
Jamani ndugu zangu wapendwa katika bwana leo naombeni tulizungumzie hili swala la kumsifia mwanamke (mpenzi wako) hasa katika upande wa uzuri wake kwa sura.

Mimi binafsi mara nyingi huwa sipendi kumsifia na kumwambia kama yeye ni mzuri. Kumsifia ninako maanisha mimi kumwambia yeye ila sio kumsifia kwa watu au mbele za watu. sasa sijajua kama hua nakosea.

Naombeni mawazo yenu.

Asanteni sana
 
Inategemea Unamsifia Kwa Nani Na Kwa Malengo Yapi.Kama Huna Uhakika Na Hilo Bora Ukae Kimya
 
Unamsifia au ni mzuri? Kama waamini ni mzuri na una mkubali msifie? Kama huamin Mwache wenzako wanomuona mzuri wamchukue wamsifie! Yani Kama ningemjua huyo mbona ningemsifia akalewa nikamgegeda bila tabu!
 
Kumsifia mwanamke ni njia mojawapo ya kujichukulia mzigo kiulaini
 
Jamani ndugu zangu wapendwa katika bwana leo naombeni tulizungumzie hili swala la kumsifia mwanamke [mpenzi wako] hasa katika upande wa uzuri wake kwa sura, mimi binafsi mara nyingi huwa sipendi kumsifia na kumwambia kama yeye ni mzuri. Kumsifia ninako maanisha ni mimi kumwambia yeye ila sio kumsifia kwa watu au mbele za watu. sasa sijajua kama hua nakosea. naombeni mawazo yenu. Asanteni sana
usipomsifia ww atasifiwa na wengine...na watakupora
 
Back
Top Bottom