Mkuu mzizi kila kheri katika kazi ya kuunufaisha umma kwa elimu yenye manfaa kedekede,
Naomba nikuulize je haya matunda hivi wakati bora zaidi wa kuyala ni upi?
Kabla ya kula chakula au baada ya kula chakula au asubuhi kabla ya kutia chochote tumboni? Nauliza hivi ili nipate manfaa zaidi inshaallah