Faida 10 za argi +

Faida 10 za argi +

Joined
Aug 9, 2012
Posts
47
Reaction score
3
View attachment 158184
1. NI KIRUTUBISHO MUHIMU SANA KUTUMIWA KILA SIKU KWA AJILI YA KUSAIDIA MIFUMO YOTE YA MWILI ILI KUUPA MWILI UWEZO WA KUFANYA KAZI VIZUR ZAIDI.
2. INASAIDIA MFUMO WA KINGA YA MWILI; KUTOKANA NA NITRIC OXIDE AMBAYO INATUMIWA NA CHEMBECHEMBE NYEUPE ZA DAMU KUUA BACTERIA. HIVYO KUUPA MWILI UWEZO ZAIDI WA KUPIGANA NA MAGONJWA.
3. INASAIDIA KUREKEBISHA KIWANGO CHA "BLOOD PRESSURE KIWA SAHIHI NA AFYA YA MZUNGUKO WA DAMU YA MOYO KIUJUMLA.
4. INASAIDIA KUTENGENEZWA KWA MIFUPA NA MWILI KIUJUMLA HIVYO NI NZURI HASA KWA TATIZO LA WALIOVUNJIKA MIFUPA, AU WENYE MIFUPA DHAIFU.
5. NITIC OXIDE INAYOTENGENEZWA, INAONGEZA MZUNGUKO WA DAMU NDANI YA MWILI NA HIVYO INASAIDIA KUONGEZA NGUVU ZA KIUME.
6. INASAIDIA MISULI KUWA IMARA NA YENYE NGUVU, PAMOJA NA KUPUNGUZA MAFUTA NDANI YA MWILI. NDIYO MAANA NI NZURI SANA KWA WANAWAKE NA WANAUME WANAOFANYA MAZOWEZI NA MICHEZO.
7. INA "POMEGRANATE" NA VIMELEA VYA MATUNDA AMBAYO NI VIOSHA SUMU, HUSAIDIA KUONDOA MADHARA YA "FREE RADICALS" MWILINI.
8. INA VIMELEA VITOKANAVYO NA "RED WINE" AMBAYO INASAIDIA KUSHUSHA KIASI CHA "CHOLESTEROL" MWILINI.
9. INAONGEZA UWEZO WA MWILI KUTUMIA INSUINE (nsulin sensitivity) HIVYO INAFAA SANA KUWEKA UWIANO WA SUKARI MWILINI.
10. INASAIDIA KUTOA HORMONES ZINAZOPUNGUZA KASI YA KUZEEKA, KUKUFANYA UONEKANE CHINI YA UMRI WAKO.
 
Bei yake ni bei nzur tu!! If kama unajuwa nni maana ya kuwa na afya bora...na siku zote kinga ni bora kuliko tiba. So kama ukiwa na kinga za mwili zikiwa juu maana yake utapunguza magonjwa kukunyemelea
 
Nikweli kabisa!! Na ndiyo tunajitaid watu wazijuwe na kuanza kuzitumia pia...ili waone faida za hizi products
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom