Fahari ya Mtanzania

WaTZ. mnajitayarisha kumalizana eenh!!? Faida muwape wadhungu.... nyie mujaze matuta !!!
Wasting capital !!
 
Umewahi kufungua computer au hata radio ukaona vifaa vya ndani vimetoka makampuni mangapi tofati tofati duniani...
Hivi vitu vya kisayansi kwa zaidi ya nusu vifaa hutoka nchi au mashirika tofauti...hivyo silo ajabu kuagiza taa matairi nk
 
asante sana kwa ukakavuzi
Umewahi kufungua computer au hata radio ukaona vifaa vya ndani vimetoka makampuni mangapi tofati tofati duniani...
Hivi vitu vya kisayansi kwa zaidi ya nusu vifaa hutoka nchi au mashirika tofauti...hivyo silo ajabu kuagiza taa matairi nk
 
aikaruwa aikambeeeeeeeeeeeee
 
gonga like basi aikaruwa
 
ni hilo basi mkuu,si unaona hata muundo wake wa miaka ya 70
miaka hiyo hata sindano tulikua tunaagiza nje ya nchi hadi leo vimbaka bado vinatoka china
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…