Mgirik JF-Expert Member Joined Apr 27, 2013 Posts 13,258 Reaction score 13,368 Jul 30, 2016 #1 Mtihuu mti ulionifikisha hapa nilipo, mti wenye thaman kubwa ndani ya mji niliozaliwa
M Mwakyeja JF-Expert Member Joined May 1, 2015 Posts 675 Reaction score 456 Jul 30, 2016 #2 Kyela ipi ndg kuna cocoa nyingi hivyo
sheriff john brown JF-Expert Member Joined Sep 17, 2015 Posts 717 Reaction score 716 Jul 30, 2016 #3 Niwekee na ya ndilolo kikolo
Mgirik JF-Expert Member Joined Apr 27, 2013 Posts 13,258 Reaction score 13,368 Jul 30, 2016 Thread starter #4 petercornelmwakyeja said: Kyela ipi ndg kuna cocoa nyingi hivyo Click to expand... Ww unaijua kyela ipi mkuu
petercornelmwakyeja said: Kyela ipi ndg kuna cocoa nyingi hivyo Click to expand... Ww unaijua kyela ipi mkuu
kabila01 JF-Expert Member Joined Apr 21, 2009 Posts 4,236 Reaction score 4,989 Jul 30, 2016 #5 Nilikuwepo Kyela jana. nilichokipenda nimeingia restaurant moja baada ya kula mhudumu kaleta bili ikiwa na jina pamoja na namba ya cm
Nilikuwepo Kyela jana. nilichokipenda nimeingia restaurant moja baada ya kula mhudumu kaleta bili ikiwa na jina pamoja na namba ya cm
ikhatibu JF-Expert Member Joined Nov 14, 2013 Posts 2,491 Reaction score 2,477 Jul 30, 2016 #6 Mkuu inachuku muda gani kuvuna, tokea kupanda mti mdogo hadi mti kukua?
Mgirik JF-Expert Member Joined Apr 27, 2013 Posts 13,258 Reaction score 13,368 Jul 30, 2016 Thread starter #7 ikhatibu said: Mkuu inachuku muda gani kuvuna, tokea kupanda mti mdogo hadi mti kukua? Click to expand... Kuanzia miaka miwili hadi minne kutegemeana na namna ulivyopanda
ikhatibu said: Mkuu inachuku muda gani kuvuna, tokea kupanda mti mdogo hadi mti kukua? Click to expand... Kuanzia miaka miwili hadi minne kutegemeana na namna ulivyopanda
ikhatibu JF-Expert Member Joined Nov 14, 2013 Posts 2,491 Reaction score 2,477 Jul 30, 2016 #8 Mgirik said: Kuanzia miaka miwili hadi minne kutegemeana na namna ulivyopanda Click to expand... nashukuru mkuu.
Mgirik said: Kuanzia miaka miwili hadi minne kutegemeana na namna ulivyopanda Click to expand... nashukuru mkuu.
kichomiz JF-Expert Member Joined Feb 28, 2011 Posts 20,257 Reaction score 13,265 Jul 30, 2016 #9 sheriff john brown said: Niwekee na ya ndilolo kikolo Click to expand... Au mang'ang'a
GreenCity JF-Expert Member Joined May 28, 2012 Posts 5,872 Reaction score 4,604 Jul 30, 2016 #10 kichomiz said: Au mang'ang'a Click to expand... Hahahaa! Au matobho!
Singo JF-Expert Member Joined Oct 4, 2010 Posts 1,208 Reaction score 1,154 Jul 30, 2016 #11 Kyela imebarikiwa !
Mgirik JF-Expert Member Joined Apr 27, 2013 Posts 13,258 Reaction score 13,368 Jul 30, 2016 Thread starter #12 sheriff john brown said: Niwekee na ya ndilolo kikolo Click to expand... Ndilolo na bha kasokela
kichomiz JF-Expert Member Joined Feb 28, 2011 Posts 20,257 Reaction score 13,265 Jul 31, 2016 #13 GreenCity said: Hahahaa! Au matobho! Click to expand... Ahahahahahaaaaaaa tisha sana mkuu
kajunjumele JF-Expert Member Joined Jul 5, 2014 Posts 2,490 Reaction score 1,363 Jul 31, 2016 #14 Mgirik said: Mtihuu mti ulionifikisha hapa nilipo, mti wenye thaman kubwa ndani ya mji niliozaliwaView attachment 373409View attachment 373410 Click to expand... ...Kyela is Zion to me..
Mgirik said: Mtihuu mti ulionifikisha hapa nilipo, mti wenye thaman kubwa ndani ya mji niliozaliwaView attachment 373409View attachment 373410 Click to expand... ...Kyela is Zion to me..
G Guasa Ambonii JF-Expert Member Joined Aug 13, 2015 Posts 8,545 Reaction score 10,296 Aug 1, 2016 #15 Huyu mgirik anaweza kuwa na maana zaidi ya alichoandika huyu!
Q Qsm JF-Expert Member Joined Dec 11, 2008 Posts 450 Reaction score 263 Aug 1, 2016 #16 kimpumu kikolo!
20PROFF JF-Expert Member Joined Nov 5, 2013 Posts 8,217 Reaction score 7,255 Aug 1, 2016 #17 Kokoaa hizo tamu kichiz....zaongeza genye sana. Tanga zipo
C Capt Tamar JF-Expert Member Joined Dec 15, 2011 Posts 13,053 Reaction score 18,017 Aug 1, 2016 #18 Mgirik said: Mtihuu mti ulionifikisha hapa nilipo, mti wenye thaman kubwa ndani ya mji niliozaliwaView attachment 373409View attachment 373410 Click to expand... Hii picha umeifanyia maujanja kibao!! Hadi mizizi imezaa? Hebu acha ukorofi bana!
Mgirik said: Mtihuu mti ulionifikisha hapa nilipo, mti wenye thaman kubwa ndani ya mji niliozaliwaView attachment 373409View attachment 373410 Click to expand... Hii picha umeifanyia maujanja kibao!! Hadi mizizi imezaa? Hebu acha ukorofi bana!
Mgirik JF-Expert Member Joined Apr 27, 2013 Posts 13,258 Reaction score 13,368 Aug 1, 2016 Thread starter #19 Capt Tamar said: Hii picha umeifanyia maujanja kibao!! Hadi mizizi imezaa? Hebu acha ukorofi bana! Click to expand... Maujanja gani? Kwan unavyozijua kokoa ww huwa zinakuwaje?
Capt Tamar said: Hii picha umeifanyia maujanja kibao!! Hadi mizizi imezaa? Hebu acha ukorofi bana! Click to expand... Maujanja gani? Kwan unavyozijua kokoa ww huwa zinakuwaje?
Bitoz JF-Expert Member Joined Aug 27, 2015 Posts 30,823 Reaction score 126,632 Aug 1, 2016 #20 petercornelmwakyeja said: Kyela ipi ndg kuna cocoa nyingi hivyo Click to expand... Kyangala