Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 360,095 Reaction score 828,906 Sep 27, 2014 #1 Huwa tunapoze kama watu ambao mambo yetu yako njema sana tuna magari tumejenga tunafanya kazi za maana sana tuna wachumba bomba sana ndoa zetu hazina matatizo tuna akili sana na tu werevu kupita wote Why??? Hii ni fahari ya kijuha be real
Huwa tunapoze kama watu ambao mambo yetu yako njema sana tuna magari tumejenga tunafanya kazi za maana sana tuna wachumba bomba sana ndoa zetu hazina matatizo tuna akili sana na tu werevu kupita wote Why??? Hii ni fahari ya kijuha be real
Mseti2007 JF-Expert Member Joined Jun 3, 2013 Posts 493 Reaction score 175 Sep 27, 2014 #2 Unataka tuonyeshe shida nje nje ili iweje?
Nokia83 JF-Expert Member Joined Jan 16, 2014 Posts 24,643 Reaction score 44,371 Sep 27, 2014 #3 Shida inabidi zifichwe kama nyeti za nyangumi
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 360,095 Reaction score 828,906 Sep 28, 2014 Thread starter #4 kanabali said: Unataka tuonyeshe shida nje nje ili iweje? Click to expand... Zisionyeshwe njenje bali ni kuwa halisi! Unakaa kwamtogole sema nakaa kwamtogole usizuge kwa kusema nakaa kijitonyama
kanabali said: Unataka tuonyeshe shida nje nje ili iweje? Click to expand... Zisionyeshwe njenje bali ni kuwa halisi! Unakaa kwamtogole sema nakaa kwamtogole usizuge kwa kusema nakaa kijitonyama
M miss ngatara JF-Expert Member Joined Apr 6, 2014 Posts 473 Reaction score 167 Sep 28, 2014 #5 mshana jr said: Zisionyeshwe njenje bali ni kuwa halisi! Unakaa kwamtogole sema nakaa kwamtogole usizuge kwa kusema nakaa kijitonyama Click to expand... Ha ha ha ha sahihi kabisa kaka yani humu kila MTU ana gar, anakaa uzungun ana Fanya kazi na ana mshahara mnono, wakati si kweli
mshana jr said: Zisionyeshwe njenje bali ni kuwa halisi! Unakaa kwamtogole sema nakaa kwamtogole usizuge kwa kusema nakaa kijitonyama Click to expand... Ha ha ha ha sahihi kabisa kaka yani humu kila MTU ana gar, anakaa uzungun ana Fanya kazi na ana mshahara mnono, wakati si kweli
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 360,095 Reaction score 828,906 Sep 28, 2014 Thread starter #6 miss ngatara said: Ha ha ha ha sahihi kabisa kaka yani humu kila MTU ana gar, anakaa uzungun ana Fanya kazi na ana mshahara mnono, wakati si kweli Click to expand... Na ndo maana kuna watu wanadhani wana Jf ni watu so special wanaoishi kwenye dunia nyingine kabisa
miss ngatara said: Ha ha ha ha sahihi kabisa kaka yani humu kila MTU ana gar, anakaa uzungun ana Fanya kazi na ana mshahara mnono, wakati si kweli Click to expand... Na ndo maana kuna watu wanadhani wana Jf ni watu so special wanaoishi kwenye dunia nyingine kabisa
kabanga JF-Expert Member Joined Dec 12, 2011 Posts 37,506 Reaction score 18,872 Sep 28, 2014 #7 mshana jr ni kweli lakini shida kuzitaja hadharani....hapana , bora sifa .za kijinga .... Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 360,095 Reaction score 828,906 Sep 28, 2014 Thread starter #8 kabanga said: mshana jr ni kweli lakini shida kuzitaja hadharani....hapana , bora sifa .za kijinga .... Click to expand... kabanga si kuzitaja bali ni kuwa halisi natumia HUAWEI nitasema natumia HUAWEI nina kibebi walker nitasema hivyo hivyo Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
kabanga said: mshana jr ni kweli lakini shida kuzitaja hadharani....hapana , bora sifa .za kijinga .... Click to expand... kabanga si kuzitaja bali ni kuwa halisi natumia HUAWEI nitasema natumia HUAWEI nina kibebi walker nitasema hivyo hivyo
kabanga JF-Expert Member Joined Dec 12, 2011 Posts 37,506 Reaction score 18,872 Sep 29, 2014 #9 mshana jr said: kabanga si kuzitaja bali ni kuwa halisi natumia HUAWEI nitasema natumia HUAWEI nina kibebi walker nitasema hivyo hivyo Click to expand... sawa, hapo umeshaanza kufunguka, ngoja nami nitaje baadae...
mshana jr said: kabanga si kuzitaja bali ni kuwa halisi natumia HUAWEI nitasema natumia HUAWEI nina kibebi walker nitasema hivyo hivyo Click to expand... sawa, hapo umeshaanza kufunguka, ngoja nami nitaje baadae...