Friday Malafyale JF-Expert Member Jan 18, 2017 1,808 2,911 Feb 2, 2017 #2 He he heee ngoja nami.nisiwe nacheka kama yeye
imhotep JF-Expert Member Oct 13, 2012 52,900 83,285 Feb 2, 2017 #3 Huyu anatakiwa kulizwa kitandani maana kulia na kucheka yote sawa tu.
Kingsharon92 JF-Expert Member Aug 10, 2015 7,760 10,146 Feb 2, 2017 #4 Tutaaminije na kule chumbani wakiwa kwenye uwanja wa fundi seremala
Murano JF-Expert Member Mar 11, 2012 2,058 1,102 Feb 2, 2017 #6 nshajua janja yake huyo anacheka bila ku-smile yani anatoa sauti ya kicheko bila sura kutabasamu. Hebu jaribu kufanya hivo utanielewa.
nshajua janja yake huyo anacheka bila ku-smile yani anatoa sauti ya kicheko bila sura kutabasamu. Hebu jaribu kufanya hivo utanielewa.