Fahamu Wanyama wanaoongoza kwa idadi duniani

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
23,707
Reaction score
57,210
Kuna viumbe zaidi ya trillion 140 ulimwenguni ikumbukwe binadamu wanahusika pia na kupunguza idadi ya viumbe kwa ajili ya matumizi ya maisha.

Mamalia wanaoongoza kwa wingi ukimtoa binadamu ni panya na popo kiasi kwamba idadi yao haifahamiki kwani wametapakaa kila sehemu.Kuna aina za viumbe yaani species Zaidi ya million 8 asilimia zaidi ya 80% ya viumbe Bado hawajagundulika hapa nchi kavu na baharini species inayoongoza kwa wingi ni mimea zaidi ya 86%, kisha viumbe majini 13% halafu animal kingdom tupo 0.4%.

10. Punda wako Zaid ya million 40 na wameanzwa kufugwa zamani miaka 4000 BC. Wako wengi kusini mwa Sahara Kwani wanastahimili kukaa muda mrefu bila maji..adui yake wa asili ni mbwea.

9. Mbuzi wako zaid ya million 90 duniani.hawali Sana Kama ng'ombe na maziwa yako yana lishe Sana wako wa miliman na wako wa porini na wanaofugwa ni takribani Million 45. Asia, Africa na America wameanza kufugwa Karne ya 18..

8. Paka wako zaidi ya millioni 400..na takribani million 300 hufugwa majumbani idadi ya kuwapata wa porini ni kazi sana.wastani wa umri wa kuishi wa paka NI miaka 12-15..ingawa yupo aliyewahi kuishi miaka 20 akavunja rekord.

7. Nguruwe wako zaidi ya millioni 678..uzuri wa nguruwe wanakula hata maganda ya matunda,ama makokwa au mabaki ya mboga za majani ambavyo vingewezwa kutupwa na binadamu.. matumizi yao NI nyama, sausage n.k...wanapenda Sana kucheza na ku solve changamoto mbalimbali Kuna tafiti zimefanyika zinasema nguruwe ana akili zaidi ya mbwa..maeneo mengi nguruwe ni haramu.

6. Mbwa wakiwa na idadi ya million 900-billion 1..kuna Zaid ya mbwa million 400 wenye kutunzwa majumbani urusi ikiongoza kwa mbwa waliosajiliwa zaidi ya millioni 12..bara linaloongoza ni Asia ikifuatiwa na Africa ingawa takwimu za Africa sio za uhakika kwani mbwa wengi hawasajiliwi.

5. Ng'ombe wako zaidi ya billion moja. Marekani namba moja kufuga wa maziwa ni zaidi ya millioni 10

4. Kondoo pia wako Zaid ya billion moja wanahitaji uangalizi Sana muda wote kwani ni rahisi kupotea wakaliwa na wanyama wakali Kama eagle.ila kondoo ana macho yenye uwezo wa kuangalia nyuzi 300.

3. Binadamu yaani Mimi na wewe na yule tuko Zaid ya billion 7.8 kwa takwimu za 2020..halafu sisi NI asilimia 0.01 TU ya viumbe vyote duniani.

2. Popo mamalia pekee anayeruka. wao idadi yao haifahamiki ilawako species zaidi ya 1300..sifa Yao kubwa NI Wana Kinga kubwa kwenye miili yao ndo maana hawapati magonjwa ndo maana idadi yao inazidi kuongezeka na wanachangia Sana kwenye kuambukiza binadamu magonjwa kwani wanaishi na viruses ama backteria kwa muda mrefu Ebola, Sara, Corona inasemekana imetokana na popo.

1. Panya hawa wanatisha wako zaidi ya billion 10. China TU wako karibia billion 2. Marekani billion 1.5 ingawa idadi yao ngumu kuifaham kwani wanajificha Sana kuwapata sio rahisi.
 
Uongooo wanaoongoza kwa wingi ni insects (wadudu ) ambao wako katika anthropods na sio mammals😇🤥
 
Nakuunga mkono nilitaka niweke bandiko kama lako ila umeniwahi.Watu wengi wasiojua biology wanafikiri kuwa wadudu jamii ya insecta sio wanyama wanasema ni wadudu.Soma chini

Facts and figures

1) Over one million species of insects have been discovered and described but it is estimated that there may be as many as 10 million species on earth.

2) There are approximately 1.4 billion insects for every person on Earth. The total weight of all the insects is about 70 times more than all the people.

3) It takes bees about 10 million nectar-collecting trips to make one pound of honey

4) The only insect indigenous to Antarctica is the wingless midge, Belgica antarctica

5) Scientists estimate that insects make up to 90% of all species of animals on the planet and more than half of all living things.

6) Insects can be found in almost every habitat, from mountain ranges covered in snow to sthe hottest deserts on the planet.

7) Insects have been around for more than 350 million years, longer than the dinosaurs and flowering plants.

8) The largest known order of insects is Coleoptera (beetles), some 300,000 to 400,000 species of beetle have been described to date. The next largest is the Lepidoptera (butterflies and moths), followed by the Diptera (true flies) and then the Hymenoptera (ants, bees and wasps).

Unaambiwa uzito wa wadudu wote duniani inazidi uzito wa binadamu wote dunani kama tungewaweka kwnye mzani kuwapima
 
binadam tuko 7bil ila tuko no 3 kwani shida ni nini??
 
Kwa hiyo sisi na mbwembwe zetu zote hizi tuko 0.1% tu? Lakini ndiyo viumbe hatari kwa Dunia kuliko viumbe wote duniani!
 
HIVYO NGURUWE WAKO NAFASI YA PILI BAADAYA NG'OMBE.
SASA ENDELEA TU KUSEMA HARAMU
 
Acha nicheke tu hahhaaa 😁 mbwa nilionao wamewahesabu? Hiyo list ni fake, kuna mambwa koko huku mitaani inazurula bila kazi ,je! Sensa imewafikia?
 
We jamaa bana, yaan kondoo wawe na idadi kubwa dunia nzima zaid ya mbuzi?, basi data zako za makisio sana, bilion kwa milion90 huon kama unazingua?, atleast data zingekaribiana maana inajulikana wengi wafugaj wa mbuzi hufuga na kondoo, na mbuzi kiidadi ni wengi kulko kondoo.

Au labda ni thread ya makisio
 
Mbuzi Africa ndo Sana ulaya huko NI kondoo baba ma new Zealand ma Australia
 
Back
Top Bottom