Fahamu Utofauti Kati ya App na Website

Fahamu Utofauti Kati ya App na Website

New Designer

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2025
Posts
390
Reaction score
633
Habari wakuu,
Naomba niendelee kutoa baadhi ya elimu kuhusiana na utofauti uliopo kati ya website na app Watu wengi hawaelewi utofauti huu ni nini?

Website
ni ukurasa au mkusanyiko wa kurasa mtandaoni ambazo mtu anaweza kufikia kupitia kivinjari (browser) kama vile Chrome, Safari, au Firefox. Ili uingie, unahitaji anwani ya wavuti (URL) kama vile www.mfano.com. Websites haziitaji kusanikishwa kwenye kifaa, na zinaweza kufunguliwa kwenye simu, kompyuta, au kifaa chochote chenye intaneti na kivinjari.

App
(application) kwa upande mwingine, ni programu inayopakuliwa na kusanikishwa moja kwa moja kwenye kifaa kama simu au kompyuta. Apps mara nyingi hutolewa kupitia App Store (kwa iOS) au Google Play Store (kwa Android). App inaweza kufanya kazi hata bila intaneti, na mara nyingi huundwa kwa kazi mahususi na hutoa uzoefu bora zaidi wa mtumiaji kuliko website ya kawaida.

Je ungependa kutengenezewa app au website kwaajili ya biashara au kampuni yako iwe ndogo au kubwa ?

Wasiliana na engineer developer
WhatsApp 0681564388
 
Back
Top Bottom