Ni chini ya dakka 30, unakua tayar ushaaga duniaAna kichwa cheusi sana !!
Ila mkuu kuna kitu bado Hujaweka sawa ;
Hiyo sumu itaua hao watu 100 ndani ya muda gani ? Vp kama wakiwahishwa hospital ?
Swali la nyongeza..... Hivi inakuwaje hiyo sumu ya nyoka haimuathiri mwenyewe ikiwa ndani ya mwili wake ?
Tiba kwa Sumu ile ipo?Ni chini ya dakka 30, unakua tayar ushaaga dunia
Inaonekana Australia kuna nyoka wenye sumu Kali sanaAnaitwa INLAND TAIPAN
Anapatikana nchini AUSTRALIA.
Aking'ata Mara mojA TU huweza humimina kiasi cha 110mg (110miligramu) za sumu.
Ambazo zinatosha kabisa kuua binadamu (watu wazima) zaidi ya 100 kwa wakati mmoja.
Au kuua panya zaidi ya 250,000 (laki 2 na nusu) kwa wakati mmoja
Picha[emoji116]View attachment 1817033View attachment 1817037View attachment 1817038
Nadhani ndiyo nchi inayoongoza kwa nyoka wenye sumu kaliInaonekana Australia kuna nyoka wenye sumu Kali sana
Wanaongoza dunianiInaonekana Australia kuna nyoka wenye sumu Kali sana
Anaitwa INLAND TAIPAN
Anapatikana nchini AUSTRALIA.
Aking'ata Mara mojA TU huweza humimina kiasi cha 110mg (110miligramu) za sumu.
Ambazo zinatosha kabisa kuua binadamu (watu wazima) zaidi ya 100 kwa wakati mmoja.
Au kuua panya zaidi ya 250,000 (laki 2 na nusu) kwa wakati mmoja
Picha[emoji116]View attachment 1817033View attachment 1817037View attachment 1817038
Mkuu fafanua npo MANGAKA -NANYUMBU nimemuonyesha mtu hii sms yako kashangaa kaniambia kumbe nyoka wanapandwa Kama mbegu za mahind ardhin? Anasema wanachipua baada ya mda gan na mbegu zake zpo wapi?Wanao lima kilimo chanyoka hiyo nifursa mpya kwao.