Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 445
- 754
Thank you!fahamu jinsi ya kuondoa Window activation kwa kutumia product key Kuna njia nyingi za kuondoa Window activation leo nimewaletea njia rahisi isiyo kuwa complicated kwani ni rahisi Kila mmoja wetu anaweza kuifanya....
Njia nyingine tumia program ya Microsoft Toolkit, Hii huwa na activatia windows zote mpaka latest version, hadi MS Office...Aisee ..mbona haiwork hii njia
Ingia piratebay search hiyo ishu zitakuja nyingi, portable, cracked, full version you name it. So njia rahisi ni kudownload via torrent.Mkuu nahitaji Minitool partition wizard kama unayo na cracked zake
Tumia Kmspico mzee ama la google. Search office 2010 activation keys lazima zitakujaNaomba activation key ya MS OFFICE PROFESSIONAL PLUS 2010
Hii ina ACTIVATE HADI MS OFFICE? au window pekeeKmspico
Mpaka officeHii ina ACTIVATE HADI MS OFFICE? au window pekee
Naweza ku-download Windows 10 nikai-install na kutumia hii proceudre ku-activate?fahamu jinsi ya kuondoa Window activation kwa kutumia product key Kuna njia nyingi za kuondoa Window activation leo nimewaletea njia rahisi isiyo kuwa complicated kwani ni rahisi Kila mmoja wetu anaweza kuifanya.
kama unavyojua microsoft wameshasema kuwa window 10 ndiyo toleo lao la mwisho akutakua na lolote jipyala window 10.1 au window 11 katika siku zijazo isipokua watakua wanafanya update ya utunzaji wa window yako na kuifanya kuwa na nguvu zaidi ila matoleo mapya ya window akuna.
siku huko leo lengo langu ni kukupa keys za window kwenyekompyuta yako inayotumia window 10 Sasa bila kupoteza mda hizi ndo keys borazitakusaidia kufanya activation ya window yako Sasa
ila kabla ujaweka keys hizo fanya tafuta sehemu ya kusearch kwenye window yako alafu andika CMD kisha run as administrator Baada ya hapo
andika hivi “slmgr /ipk yourlicensekey”
hapo kwenye youlicensekey utaweka keys yako ya window kutoka na edition hip kha pro home , enterprise na nk. kisha utapiga enter
Baada ya hapo andika command hizi
“slmgr /skms kms8.msguides.com” kisha utapiga enter
utamalizia kwa kufanya activation permanent kabisa kwa kuandika hivi
“slmgr /ato” kisha utapiga enter
hizi hapa baadhi ya list za license key
Home: TX9XD-98N7V-6WMQ6-BX7FG-H8Q99
Home N: 3KHY7-WNT83-DGQKR-F7HPR-844BM
Home Single Language: 7HNRX-D7KGG-3K4RQ-4WPJ4-YTDFH
Home Country Specific: PVMJN-6DFY6-9CCP6-7BKTT-D3WVR
Professional: W269N-WFGWX-YVC9B-4J6C9-T83GX
Professional N: MH37W-N47XK-V7XM9-C7227-GCQG9
Education: NW6C2-QMPVW-D7KKK-3GKT6-VCFB2
Education N: 2WH4N-8QGBV-H22JP-CT43Q-MDWWJ
Enterprise: NPPR9-FWDCX-D2C8J-H872K-2YT43
Enterprise N: DPH2V-TTNVB-4X9Q3-TJR4H-KHJW4
Sasa utafanikiwa kufanya activation ya window yako permanent kabisa
VIPI UMEFANIKIWA KUFANYA ACTIVATION YA WINDOW TUAMBIE KWENYE MAONI SASAunaweza kutufuatilia kwenye page yetu kujifunza zaidi karibuni Sasa
Teknolojia ni Yetu sote 🌏 (@bongotech255) • Instagram photos and videos
25K Followers, 264 Following, 665 Posts - See Instagram photos and videos from Teknolojia ni Yetu sote 🌏 (@bongotech255)www.instagram.com
Nilitafuta huko siku moja ili nipate za kuchakachulia office 2019 nikaona ni za kihuni tu. Ila nilipata nyingine kali Mahali fulani hivi baada ya kuhangaika sana ila naikubali. KMSPico 11.21 nayo yaweza kuwa nzuri ila kwenye website ya madeveloper wake naona bado hawajaiweka nadhani wako kwenye majaribio bado.Ingia piratebay search hiyo ishu zitakuja nyingi, portable, cracked, full version you name it. So njia rahisi ni kudownload via torrent.
Mimi hua nazipata huko hizi software. Hope unajua kudownload torrent
Unayo Mkuu hiyo application ?Nilitafuta huko siku moja ili nipate za kuchakachulia office 2019 nikaona ni za kihuni tu. Ila nilipata nyingine kali Mahali fulani hivi baada ya kuhangaika sana ila naikubali. KMSPico 11.21 nayo yawezakuwa nzuri ila kwenye website ya madeveloper wake naona bado hawajaiweka nadhani wako kwenye majaribio bado.
Sent from my cupboard using mug.