Fahamu misamihati mipya!!

Fahamu misamihati mipya!!

King Kong III

Platinum Member
Joined
Oct 15, 2010
Posts
64,283
Reaction score
98,885
1.Timbulo---------kukopi(Naomba desa nikalitimbulo,niazime cd yako nikaitimbulo,kama umeupenda huu uzi unaweza ukautimbulo etc)

2.Lusinde----Tusi,kutukana etc(Kulusinde ni kutukana,amemlusinde amemtukana)

3.Mabwepande----------Mpododo aka Kichuguu aka behind

4.Dushelele--------Mpingo aka Mandingo aka Dickson aka John

5....................


Nageuka mac regan nawaambia endeleaaaaaaa!!
 
siyo misamihati ni msamiati na wala hauna wingi
 
Back
Top Bottom