FAHAMU MACHACHE KUHUSU CERAMIC TILES

FAHAMU MACHACHE KUHUSU CERAMIC TILES

Joined
Jun 10, 2023
Posts
55
Reaction score
82
CERAMIC TILE
FAHAMU MACHACHE KUHUSU CERAMIC TILE

Na Ochoa Home Decor

NI ZIPI CERAMIC TILE?
Ceramic tile ni zile tiles zote zinazonyonya maji kuanzia asilimia 6.9 na kuendelea (6.9%...)
Hizi zimetengenezwa kwa material mepesi zaidi...

AINA ZA CERAMIC TILE.
Kunaaina mbili za Ceramic tile....
1/Ceramic floor tile (Tile ya sakafu ya Ceramic)
2/Ceramic wall tile (Tile ya ukuta ya Ceramic)

CERAMIC FLOOR TILE
Hii inanyonya maji asilimia 6.9 mpaka asilimia 7.9(6.9%-7.9%)
Tiles hii ni nyepesi sana/sio ngumu hivyo ni vyema ukaijenga katika sakafu ambayo haina mzunguko mkubwa sana wa watu...
Mfano katika nyumba ya kuishi...
Epuka kujenga katika kumbi za mikutano,Bar,mashuleni n.k,
Kwani baada ya muda mfupi tuu zitakuwa zimechakaa zaidi na kupasuka (baadhi) kwa kuangushiwa vitu vizito na vigumu juu yake..
Pia hizi ni rahisi sana kuchubuka na kuweka mikwaruzo...

CERAMIC WALL TILE
Hizi ni tiles zote zinazonyonya maji kuanzia asilimia 7.9 mpaka asilimia 10(7.9%-10%)
Tiles hii pia ni nyepesi sana/sio ngumu
Lakini ndio chaguo bora zaidi kwa kuta za nyumba yako..
Kwasababu endapo utaiweka ukutani itakusaidia kupunguza unyevunyevu katika kuta zako kwani hii tile huwa inatabia ya kunyonya maji...
Na endapo itapunguza unyevu basi athari ya fangasi pia itapungua(haitakuwa kwa kiasi kikubwa sana)
Pia ni salama zaidi kwa kuzijenga ukutani kwasababu hizi tiles za Ceramic huwa zinashikana zaidi na udongo...
Hivyo hupunguza uwezekano wa tile kuanguka/kubanguka na kuleta madhara kwa wahusika wa eneo hilo....

FAIDA ZAKE KIUFUPI
1/Hizi tile ni gharama nafuu
2/Rahisi kubebeka/kuhamishika kutoka eneo moja kwenda jengine kwasababu ni nyepesi
3/Ni salama zaidi kwa ukutani

HASARA ZAKE KIUFUPI
/Sio rahisi kuiondoa baada ya kujenga kama itakuwa na hitilafu.
/Ni rahisi kuvunjika/kupasuka

SPECIAL QUOTE

!!!! Ceramic tile ni chaguo bora zaidi kwa kuta za nyumba yako..
!!!! Ceramic tile ni gharama nafuu zaidi..
!!!! Ceramic tile ni rahisi zaidi kuchubuka,kupauka,kupasuka..
!!!! Ni vyema zaidi zikawekwa katika jengo lisilo na mzunguko mkubwa sana wa watu tofauti tofauti kama bar,ofisi,kumbi n.k

Mtag mwenzio ajifunze

KWA UJENZI BORA WA TILES USISITE KUITAFUTA TEAM YAKO PENDWA KABISA YA OCHOA HOME DECOR

#NyumbaYakoFahariYako
#TupeTuipandisheThamani
#JengaNasi
Kwaniiii....
#UboraNdioFahariYetu

Tupigie sasa
☎️+255 714 122 011 ✅
IMG_8894.jpeg
IMG_8552.jpeg
 
☎️+255 714 122 011 ✅View attachment 3329831View attachment 3329835
Tiles zimepanda sana bei miaka miwili hii. Mwezi May 2023 nilinunua box la 40 x 40 kwa TZS 20,500/-, jana nimeuliza ni 35,000/-. Yaani ongezeko la karibu 75%.

Ni kodi imeongezeka ama nini?
 
Back
Top Bottom