Fahamu kuhusu rooting kwenye android mobile phones

Kaka naomba nisaidie

Nilifuata taratbu zote za ku-root sim yang tecno y3+

Nika-install KINGROOT
Lakin nikijarib ku-root ila inaishia asilimia ya 70% halaf ina-fai

Naomba nielekez namna ya kuroot hii sim TECNO Y3+
Kaa sehemu yenye network nzuri maana ikiwa inacheza lazima igome kwenye sabini.
 
Mkuu mambo vipi, simu yangu ni tecno C8 nimeroot nilitaka niupgrade kwenda android six inaniletea ujumbe kuwa your device is not compatible. Nimesharoot imekubali na nikafanya root checker ikasema your phone ia rooted.

Nisaidie mkuu nakosea wapi
 
Mkuu vp sumsung Galax j2 kuwa rooted
 
Wakuu shukurani kwa uzi mzuri unaotoa elimu Bora kabisa .....naombeni kabla cjai iroot cm yang ya tecno C9 naombeni namna itakayo niwezesha kujua kam cm yang ni original na na rooting program gan nzuri kwa cm yang,,,,Asanteni
 
Muonekano wake status about phone ni huu...
 
Mbona tukiuliza kuhusu rooting kwenye android 6.0 marshmallow bila kutumia PC hatupati majibu au haiwezekani mpaka pc
 
Android 6.0 ndo ikoje.. Maana nyingine Tecno C9 ni android 5.1
 
mkuu katika playstore kuna hizi kitu nying ungesaidia kuweka walau picha ya app husika
 
Me natumia android latest 6.0 kitu cha marshmallow
 
Ya kwangu ni LG G na pale kwenye Android Version wameandika 4.4.2 na software version wameweka F180L30f. Hii itakuwa kataka version gani mkuu?
Nashukuru kwa somo lako
 
Inawezekana hyo, inaitwa jailbreaking
zamani, kulikuwa na wataalam wengi wa namna hii JF ! wenye kufikisha watu.
Pole pole wakaingia wenye matusi, hawa, wakajiondokea, sasa,nawaona wanaanza kurudi waleeeeeee!
 
Unavyoroot simu, vitu vilivyomo mfano app,nyimbo,picha vinafutika au inakuaje?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…