Fahamu kuhusu rooting kwenye android mobile phones

Mimi natumia huawei na numeikuta hivi
 
kasema inaweza kuzima mazima
 
vpi uki install kwa playstore badala ya google?
 
Simu yangu ya Huawei 330 nimebongeza kwenye botton ya Builder number wameniambia NO NEED,YOU ALREADY A DEVELOPER.
 
Simu yangu ya Huawei 330 nimebongeza kwenye botton ya Builder number wameniambia NO NEED,YOU ALREADY A DEVELOPER.
Kama imekwambia hivyo maana ake endelea mbele kwa kudownload kingroot ten uiroot iki uwe superuser wa simu yako
 
Kaka naomba nisaidie

Nilifuata taratbu zote za ku-root sim yang tecno y3+

Nika-install KINGROOT
Lakin nikijarib ku-root ila inaishia asilimia ya 70% halaf ina-fai

Naomba nielekez namna ya kuroot hii sim TECNO Y3+
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…