Herbalist Mtaturu
Senior Member
- Aug 17, 2023
- 171
- 259
🌳 FAHAMU KUHUSU MATOGHO 🌳
👉Matogho ni matunda yenye thamani kubwa sanaa kiafya na kiutamaduni.
👉Kwa kiingereza huitwa Goron Tula au snot apple, Kisayansi huitwa- Azanza garckeana .
Pia hujulikana kama- African chewing gum fruit
Ucheku / Tula kola (Nigeria)
Faida Zake Kuu:
⚡1. Afya ya Uzazi:
⚡2. Nguvu za Kiume na Tendo la Ndoa:
⚡3. Tumbo na Mmeng’enyo:
⚡4. Antioxidant & Kinga ya mwili:
- Inasaidia kupunguza uvimbe na uchovu wa mwili.
✨ MATUMIZI ✨
👉 Huliwa moja kwa moja kwa kutafunwa mara 1–2 kwa siku.
👉Wengine hutengeneza juisi kwa kuchemsha na kuchanganya na tangawizi au asali.
🔥🔥Ukihitaji mchanganyiko wake kwa ajili ya tiba maalum (mfano: kushika mimba, nguvu za kiume au kusafisha kizazi nk), Follow ukurasa wangu huu na ufuatilie somo lijalo.
Chief Sang'ida

- Hurekebisha hedhi isiyo ya kawaida.
- Husafisha mfuko wa uzazi kwa wanawake.
- Huongeza ute wa uzazi (cervical mucus) kwa ajili ya urahisi wa kupata mimba.
⚡2. Nguvu za Kiume na Tendo la Ndoa:
- Huongeza hamu ya tendo la ndoa (libido).
- Huchochea msisimko wa asili.
⚡3. Tumbo na Mmeng’enyo:
- Hurekebisha choo kigumu.
- Husaidia kusafisha sumu tumboni (detox).