Hapo nilikuwa namprovia kuwa haya mambo sio siasa, hiyo kazi ya ugunguzi wa dawa ni ya Kemia, kwa mimi ninavyo elewa kwenye uvumbuzi wa madawa kuna hawa watu Biochemist, medicinal chemist, organic chemist, pharmacist, na watu wa molecular biology. Kwasababu hayo madawa ni ma organic compound biotechnology hizo reaction hawezi kuzielewa bila hao wakemia hapo