Karibia kila kitu kwenye ulimwengu kimeundwa na na
Matter ikiwa kwenye umbo/aina tofauti kama
Solids,liquids,gasses na
plasma hizi aina aina za matter zimeundwa na particles ndogo {
subatomic particles} inayoipa matter
uzito{mass} na
ujazo{volume} yake, hizi partcles inajumuisha
protons na
Neutrons { pia ikijulikana kama
bayrons} pia
Electrons na
Neutrinos { ikijulikana kama
Leptons } protons na neutrons zenyewe zikiwa na zimeundwa na
Quarks na
Gluons ila particles zote zikiwa zina pacha wake ambayo zikiwa na properties sawa ila charges tofauti zikiitwa
ANTIMATTER
Mwaka 1928 mwana fizikia wa uingereza aitwaye
Paul Dirac aliandika equation akijumuisha Quantum theory na Special Relativity kuelezea tabia ya electrons kwenye kasi ya uwiano [
relativistic speed] equation Dirac aliyoandika ilimpatia
Nobel Prize mwaka 1993 alionyesha equation inaweza kuwa na suluhisho aina mbili moja electron ikiwa na nguvu
chanya na nyingine electron ikiwa na nguvu
hasi
Ila classical physics ilisema nguvu ya particle siku zote huwa ni namba chanya. Dirac akatafsiri kuwa equation inamaaisha kuwa kwene kila particles iliyopo kuna
antiparticles sawa, ikiwa imefanana kwa sifa zote ila kasoro zikiwa na
charges kinyume chake
Mfano kwenye
Electron kutakuwa na
antielectron au
Positron ikiwa ndo jina iliyopewa zikiwa zimefanana kwenye kila kitu kasoro electrical charges. Hii ikaja na mawazo huenda kuwa na uwezakano wa galaxies au hata ulimwengu ulioundwa na Antimatter. Ila cha ajabu nikuwa Matter na
Antimatter hazitakiwi kukutano kwa zaidi ya sekunde chache na kama zikikutano kutakuwa na Maangamizi vyote vikipotea na kuacha mlipuko wa nishati ikiwa mfumo wa
photons [
mwanga] na
gamma rays
Mwaka 1995 wana fizikia wa kituo cha utafiti wa
particle physics cha kimataifa kiitwacho
CERN kilichopo
Meyrin Geneva Switzerland.
walitengeneza
antiatom ya kwanza, ikiwa ni
antihydrogen ikiwa na positron ikizunguka antiproton nucleus. Walifanya kwa kufanya
collision ya
nishati kubwa ya
protons kwenye
metal liyosababisha kutengeneza
antiprotons kisha wakatenganisha
antiprotons kwa kutumia
magnetic fields iiiyofanya kuzipunguza kasi Antiproton kabla ya kutumika kwenye uchunguzi kisha kwa kuunganisha antiprotons na positrons wakatengeza atom za
antihydrogen
ikiwa ndio
antimatter iliyo kwenye fomu rahisi ila ilikuwa haiwezi kukaa kwa muda mrefu huchukua sekendu chache mno kisha inakutana na matter ya kawaida na kupotea ikiacha mwanga kwa sasa CERN wamefanikiwa kutengeneza Antihyrogren nyingi zikiwa zinaweza kukaa kwa sekunde 1000
Ingawa
positrons huweza kutengenezwa kwa collision ya miozi ya kwenye cosmos ila hakuna ushahidi wa kuwa na antimatter kwa idadi kubwa kwenye ulimwengu, galaxy yetu ikiwa imebeba matter pekee, na inasemekana ndio kitu chenye bei ghali zaidi dunia ikiwa ina thamani ya
trillion 62.5 dollar za
kimarekani kwa
gram moja pekee
Swali linakuja kama kwenye kila Matter lazima kuwe na
antimatter inakuaje ulimwengu unakuwa na matter nyingi mno na antimatter ikiwa na idadi chache mno.
mwanzo wa ulimwengu kwenye tukio la
Bing Bang ikuwa ni joto kubwa na kulikuwa na idadi sawa ya
Matter na
Antimatter hivyo baada ya mlipuko wa Bing Bang na ulimwengu kuanza kuongezeka joto likaanza kupungua na kusababisha ulimwengu kutokutengeneza particles ila particles zilizobaki zilikuwa zikikutana na antiparticles na kupotea na kuacha mwanga ila miongoni mwa hizo reaction kuna moja ilitokea na kuacha mwanga na kuacha Matter bila antimatter na hiyo kusababisha ulimwengu kuwa na Matter idadi kubwa na Antimatter kuwa na idadi chache mno