MTAtiro grandson
Member
- Aug 18, 2019
- 80
- 177
Mtoa mada akishaiba simu ya watu hukooooooo sio rahisi kujulikanaInasaidia nini ukibadili
Mkuu, nakushauri tu. Hii elimu ni kosa (tangu hapo ulipotumia neno KUBADILI IMEI)Kubadili IMEI ya simu ni huduma unayoweza kuifanya kwenye simu ambazo ni rooted na ambazo hazija fanyiwa rooting. Leo nitawaonyesha jinsi ya kubadili IMEI kwenye simu ambazo hazija fanyiwa root, ila inaweza kuleta madhara pindi utakapo kosea hatua ninazo onyesha hapa,so be careful.
Jinsi ya kubadili IMEI ya simu bila ku-root simu yako:-
1. Download and install app ya mobile uncle app kutoka playstore kwenye simu yako
2. Ikishamaliza ku-install fungua mobile uncle app
3. Kisha chagua Engineering mode (MTK)
4. Shuka chini kisha bonyoza CDS Information
5. Chagua Radio information.
6. Ukisha chagua radio information utakuta option mbilihapo utachagua “Phone 2”
7. Baada ya hapo utaona option kama hii AT, Apo utaingiza AT (IMEI namba mpya) mfano (AT 000000000000000) ziwe tarakimu 15
8. Kisha bofya Send at command
9. Restart simu yako
Baada ya hapo utakuwa umefanikisha zoezi la kubadili IMEI ya simu yako unachotakiwa kufanya ni kuthibitisha kwa kupiga *#06#...
Try at your own risk
Kwani ukifanya hivi kwenye simu ambazo zimefungiwa na TCRA kwa kuwa ni fake utakua umevunja sheria za TCRA mimi sitahusika. Nimetoa njia hii ni kwa kujifunza tu
Hapo angetumia lugha ya kurepair IMEI siyo kubadili na hawa ndo wanasabisha mafundi simu wanasumbuliwa na TCRA.Mkuu, nakushauri tu. Hii elimu ni kosa (tangu hapo ulipotumia neno KUBADILI IMEI)
Kubadili IMEI NI KOSA KISHERIA na ndio maana baadhi ya tools hii IMEI repair inakua hidden au una pewa onyo kitumia.
Btw, hongera kwa elimu
Hakuna ambayo haiwezekani...Ungeongeza kuwaambia premium smartphones hazibadilishiki Imei
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Kabisa wenye tools wanakuambia ni kosa kisheria... ukitaka kufanya hivyo unatakiwa kufuata taratibu za kisheria sio kienyeji tu..Mkuu, nakushauri tu. Hii elimu ni kosa (tangu hapo ulipotumia neno KUBADILI IMEI)
Kubadili IMEI NI KOSA KISHERIA na ndio maana baadhi ya tools hii IMEI repair inakua hidden au una pewa onyo kitumia.
Btw, hongera kwa elimu
Zitaje sasa, unangoja ninHuyu ni mgeni kwenye hii tasnia... ndugu izo mambo tumefanya zaidi ya miaka 7 iliyo pita... sasa hivi tunatumia technology kubwa zaidi..
Maui meta na nck bado sio teknolojia kubwa, najua ndo unazozitumia labda na miracleHuyu ni mgeni kwenye hii tasnia... ndugu izo mambo tumefanya zaidi ya miaka 7 iliyo pita... sasa hivi tunatumia technology kubwa zaidi..
Ni kosa la nchi gani labda ,,, who told you wote tuko huko tz?Mkuu, nakushauri tu. Hii elimu ni kosa (tangu hapo ulipotumia neno KUBADILI IMEI)
Kubadili IMEI NI KOSA KISHERIA na ndio maana baadhi ya tools hii IMEI repair inakua hidden au una pewa onyo kitumia.
Btw, hongera kwa elimu
Dunia nzima kubadil IMEI ni kosa ndugu yangu. Kama haya mambo hujui bora utulie tu.Ni kosa la nchi gani labda ,,, who told you wote tuko huko tz?
Hapa saudi arabia sio kosaDunia nzima kubadil IMEI ni kosa ndugu yangu. Kama haya mambo hujui bora utulie tu.
Eeenh, kwa hiyo kubadili IMEI saudia sio kosa.Hapa saudi arabia sio kosa