Fahamu historia na matumizi ya codes

Bana Balume

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2017
Posts
999
Reaction score
2,730
Ningependa leo kushea kitu kuhusu hizi codes ambazo zimekuwa zikitumika tangu enzi hizo hadi hivi sasa zinatumika katika jamii yetu hasa katika swala zima kiintelijinsia code hizi zimekuwa na faida kubwa ya kuficha ujumbe fulani ili ufike moja kwa moja kwa mlengwa bila kugundulika na mtu yeyote asie husika.

Hivyo tunaona codes zimekuwa na mchango mkubwa katika sekta nzima ya intelijinsia kwa jamii yetu ya sasa yenye maendeleo makubwa ya sayansi na teknolojia hata kwa kipindi cha zamani kidogo kabla teknolojia haijawa kubwa kama hivi sasa code zilitumika sana kuficha ujumbe hii ilitumika sana hasa kwa wapelelezi wa kipindi hiko walikuwa wanapeleleza falme fulani nakuandika codes zilizoficha ujumbe na kizituma kwa falme zao bila kugundulika.

Hivyo basi hili likiwa kama jukwaa la intelligence ningependa kushea nanyi kitabu hiki cha maswala ya code kujifunza vitu mbalimbali vinavyo husiana na codes ikiwemo the way hizi code zilivyo kuwa zinatumika tangu zama hizo,jinsi ya kuzitengeneza kuficha ujumbe fulani,jinsi ya kuzifungua yaani encoding na kadhalika

Hivyo basi naomba nikiweke hiki kitabu hapa ili mkisome na pia ningefurahi sana kama mrejesho ungelitwa katika uzi huu ili tuweze kuchangia ideas kuhusu maswala mazima ya hizi codes.
 

Attachments

Bibilia ni kitabu kinachobeba matumizi ya code kwa kiwango kikubwa sana. Jumbe nyingi kama sio zote ambazo zililetwa manabii au Mwenyezi MUNGU au YESU ukiziingia kichwa kichwa unatoka patupu. nyingi zimekuwa codified
 
Bibilia ni kitabu kinachobeba matumizi ya code kwa kiwango kikubwa sana. Jube nyinig kama sio zote ambazo zililetwa manabii au Mwenyezi MUNGU au YESU ukiziingia kichwa kichwa unatoka patupu. nyingi zimekuwa codified
Unafikiri ni kwanini biblia imekuwa coded wakati lengo lake ni kufanya watu wote wamjue mwenyezi Mungu..
 
Unafikiri ni kwanini biblia imekuwa coded wakati lengo lake ni kufanya watu wote wamjue mwenyezi Mungu..
Kuna Kumjua Mungu kuko kwenye plain text. Ila kuelewa na kufaidi mambo yaliyo katika ulimwengu wa Roho lazima deep ili sasa uweze kujua ukuu wa Mungu na uweza wake na kuweza kujua nyenzo za kushinda vita vya kiroho coding inakuwezesha kwanza kubypass natural thinking ambayo inaweka barrier katika kupambanua mambo kibinadamu lakini jambo likiwa codofied Mungu anaingia kazini on your behalf moja kwa moja. Ndio linakuja lile neno YASIYOWEZEKANA KWA WANADAMU KWA MUNGU YANAWEZEKANA
Mfano Musa aliwaambia Waisrael uking'atwa na Nyoka we angalia nyoka wa Shaba. Ukienda kimwili hapo utaelewa nini
 
Kuna jamaa ameandika code yake wameiweka makao makuu ya CIA mpaka leo haijavunjwa hadi CIA wameshindwa pamoja na kupewa hints
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…