JESHI LA KWANZA lilikuwa la FIRAHUNI wakristu wanasema FARAO NA ASILI ya saluti ni kwa sasa tutasema ni ya kimasonic yani aliweka FIRAHUNI kipindi hicho lakini JESHI la kwanza ni la mwenyezi mungu lenye nguvu kubwa na hapa duniani ni kpoi baadhi ya vitu si vyote hata sheria za mateka zipo katika Quran na mengi tele