Mnamo mwaka 1995 hivi, palikuwa na uchaguzi mkuu wa kwanza wa vyama vingi nchini Tanzania. Uchaguzi ule ulikuwa na ushindani. Nyakati hizo, runinga ndio zinaingia Tanzania-bara. Palikuwa ni kipindi kimoja cha mahojiano, kilijipatia umashuhuri sana. Kilikuwa kinaitwa "Kiti Moto". Mtangazaji,
Pascal Mayalla , runinga ya DTV...