Mimi mbwa wangu hali chochote zaidi ya nyama,na nyama yenyewe anachagua,nashindwa kuelewa ni minyoo au hana hamu ya kula?
View attachment 375656
Huyu mbwa ni kabila gani?, maana nimeuziwa sijui kabila lake
Anakula pumba na dagaa, ndio uwezo wangu huomkuu mbona kama unamlisha pumba?
But still ni mbwa!!!Huyo ni mbwa koko.
mchagaView attachment 375656
Huyu mbwa ni kabila gani?, maana nimeuziwa sijui kabila lake
msafwaView attachment 375656
Huyu mbwa ni kabila gani?, maana nimeuziwa sijui kabila lake