Moyibi
JF-Expert Member
- May 11, 2012
- 1,054
- 702
Hapa nimeoanisha aina mbali mbali za breed ya mbwa na sifa zao kama vile
1. Shughuli zao malum
2. Umri wao wa kuishi
3. Hali ya hewa wanayopendelea
4. Matatizo ya afya wanayokumbana nao...
Kama upo na swali lolote hususani magonjwa na matunzo ya mbwa unakaribishwa !!
1. Shughuli zao malum
2. Umri wao wa kuishi
3. Hali ya hewa wanayopendelea
4. Matatizo ya afya wanayokumbana nao...
Kama upo na swali lolote hususani magonjwa na matunzo ya mbwa unakaribishwa !!