fahama machache haya kuhusu DHAHABU/GOLD

MSEZA MKULU

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2011
Posts
3,820
Reaction score
5,822
1:Miili yetu ina angalau 0.2Milgram ya dhahabu asilimia kubwa ya kiwango hiki iko kwenye damu.
QI: Quite interesting facts about gold

2:Matetemeko ya Ardhi hubadili Maji kuwa dhahabu.
Earthquakes turn water into gold

3:Medal ya Dhahabu ya Olimpic ina aslilimia 1.34 tu ya dhahabu. Watu wengi hudhani ni bonge la dhahabu kamili.Austerity At The Olympics: Each "Gold" Medal Contains 1.34% Gold | Zero Hedge

4:Bahari yote ya dunia inadhahabu karibu tani 20Millions.Is there gold in the ocean?

5:Karibu nusu ya dhahabu yote duniani imechimbwa sehemu moja Witwatersrand, South Africa.
Rivers ran with gold three billion years ago : Nature News

6:Ukichomwa sindano ya dhahabu mwilini inasaidia kutibu kansa.
How Doctors Are Harnessing the Power of Gold to Fight Cancer | Innovation | Smithsonian
7:Kuna mkemia mmoja aliyeamini anaweza kuchuja mkojo wa binadamu na kupata dhahabu badala yake akakuta Phosporus.
Phosphorus Starts With Pee In This Tale Of Scientific Serendipity
 
Kusema mwili wa binadamu una dhahabu , huku sasa ni kututafutia kuuana tu... Watu tugeuzwe migodi
ha ha ha
tembea na bango limeandikwa "mimi sina dhahabu"
lbd utanusurika....
 
1:Miili yetu ina angalau 0.2Milgram ya dhahabu asilimia kubwa ya kiwango hiki iko kwenye damu.
QI: Quite interesting facts about gold

2:Matetemeko ya Ardhi hubadili Maji kuwa dhahabu.
Earthquakes turn water into gold

3:Medal ya Dhahabu ya Olimpic ina aslilimia 1.34 tu ya dhahabu. Watu wengi hudhani ni bonge la dhahabu kamili.Austerity At The Olympics: Each "Gold" Medal Contains 1.34% Gold | Zero Hedge

4:Bahari yote ya dunia inadhahabu karibu tani 20Millions.Is there gold in the ocean?

5:Karibu nusu ya dhahabu yote duniani imechimbwa sehemu moja Witwatersrand, South Africa.
Rivers ran with gold three billion years ago : Nature News

6:Ukichomwa sindano ya dhahabu mwilini inasaidia kutibu kansa.
How Doctors Are Harnessing the Power of Gold to Fight Cancer | Innovation | Smithsonian
7:Kuna mkemia mmoja aliyeamini anaweza kuchuja mkojo wa binadamu na kupata dhahabu badala yake akakuta Phosporus.
Phosphorus Starts With Pee In This Tale Of Scientific Serendipity
ASANTE SANA
 
Back
Top Bottom