Fafanua picha hii.

jamani ck hizi hata ikitokea mwanaume amembusu mwanaume mwenzie basi lazima aitwe wa david cameroon
 
Walewale akina cameron ptuuuu!
 
wewe kama hujui ku hug toa mkono tu kwa salamu kama mimi, mimi siwezi kumhug mwanaume mwenzangu, huwa naona kinyaa kama nakula maviiii...ila kwa mwanamke, nahug kila mtu isipokuwa mama yangu mzazi, dada zangu, mashangazi na mamamkwe....
 
Si unajua uzugu tena.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…