Fadlu sio kocha

Mbna huo wa Yanga ambao uko na akili, ulimshindwa Mc Alger, tena hapo kwake kwa mkapa.

Hivi ubora wenu ni kwa Simba na ligi kuu mliyodhamini team 8?

 
Goli 2 Tu zimewafanya muanze kuropoka kama watoto.
Ubovu wenu Simba ni wachezaji, Fadlu ni Kocha mzuri.

Msimu unaokuja tafuteni wachezaji
Kwani Mpanzu jamani siyo mchezaji?😁😁😂😂
 
Ukocha ni Jalala,Asa jamani uwanjani anacheza Chemalon Fondoo apigwe toboo unakuja mlaumu Fadlu🤣🤣🤣Makolo hawana akili za kuwavusha kwenda kwenye mafanikio.

Ukikosea kwenye problem identification dah! Tayari ushafaili solve tatizoo.Kinachohitajika pale Simba ni kupata wachezaji kama Mpanzu class,Forwad kama sowah...kocha hata awe mwijakuu mnatanyanyua kwapaaaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…