Fadlu badilika ama ubadilishwe

Uchambuzi wa kipuuzi huu.... Yaani umeshindwa kutambua kuwa timu ilikuwa na fatigue kutokana na mechi za CAF????.....
 
Mkuu naheshimu mawazo yako, lakini umeshindwa kutambua kama kikosi kimechoka sasa hivi kutokana na kucheza mechi ngumu mfululizo... Timu inakata pumzi kwa sababu ambazo zinaeleweka.
Waliposema wachezaji wapumzike kwa masaa 72 kabla ya kucheza mechi nyingine walimaanisha nn?
 
Yaani Kibu D mwenye miaka 35 uje leo umfundishe kucheza kitimu, kitu ambacho anafundishwa mtoto wa miaka 6 mpaka 8 ???
Siye tuvumiliane hivyo hivyo maana ndo urefu wa mfuko ulipofika..
 
Na mechi walichezea Zanzibar tu hapo!
Natamani wangeiga ile model ya ulaya kama walivyofanya Ghana nafikiri kabla ya world Cup 2010.
Mwaka huu wakati real inajiandaa na game ya marudiano vs arsenal. Waliomba mechi yao iahirishwe mpaka UEFA game ipite.
Chama cha soka cha Spain kiliwakatalia kwamba hayo ni masuala binafsi ya club
Hapa kwetu viporo kisa kushiriki michuano ya kimataifa. Utaepuka vipi match fixing hapo??
 
Ligi ilipofikia inahitaji zaidi mbinu za kushinda mchezo kuliko show game point 3 muhimu
 
Wewe ni nani???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…