Kwanza kama yuko tanzania basi asahau kabisa medicine na pharmacy. Pili kilimo, geology (kama akiwa na one, udsm walikua wanawapokea ila sio kwenye uhandisi wa geology) , ukunga, nesi, education na kozi nyingine za biashara na jamii.Wakuu samahani naomba kujua ni faculties zipi ataweza omba mtu wa CBG akimaliza form 6?Hasa Kwa kuzingatia masomo ya Chemistry na Biology.
Asanteni.